Eti inawezekana?...UVUMILIVU MPAKA LINI?

Eti inawezekana?...UVUMILIVU MPAKA LINI?

Mambo ya viapo ni magumu ndo mana hara rate ya kuvunjika ndoa ni kubwa sana siku hizi.mimi na true story ya zamani lakini hiyo ni mama ndo aliparalize na mmewe akafikia hatua ya kuwa anatembea mbele ya mkewe akijua hawezi fanya chochote.Mungu sio Edwin baada ya kama miaka mitatu yule mama akaja kupona..ndoa ya jamaa pia ikabaki historia
 
salama hapa?hitimisho la sred ni inawezekana kuvumilia au haiwezekani?

Thread imechakachuliwa lakini ukweli umebainika:

Wanaume hawafichi wayafanyayo
wanawake wanafanya kwa siri kubwa sana.........

Wanaume si wavumilivu na hawana cha kujitetea
Wanawake si wavumilivu ila wana cha kujitetea.......kisingizio chao kikuu ni Kumtumainia Mungu!
 
Umeua mazimaaaaa thread :closed_2::closed_2::closed_2::closed_2:
 
Nimekusamehe kwa kuwa hulijui ulitendalo...kosa lilikuwa langu kukuacha ukalelewa kwa wajomba!

Mheshimiwa mbu, si kosa lake....nlimwachia mjombake amlee...watoto wanaolelewa na wajomba huwa hawana nidhamu kwa babu zao.

Hivi wajomba zangu si ndio wanao wa kiume Babu eh? na si wanasema laiki faza laiki san.

BTT:
Kusema ukweli nilichotaka kukwambia Babu yangu ni kuwa Ugumu uko pande zote mbili kwani wote ni binadamu, tuna nyama, damu na maji mwilini. Inategemea na imani ya mtu kwa sababu kusema kweli wote tuna mahitaji sawa so uvumilivu unaozungumziwa hapa haupo Babu labda kama ungeuliza kuvumilia kwa muda gani??...........
 
Sawa mjukuu:

Hoja hapa ilikuwa wanaume inaeleweka si wavumilivu...fuatilia posts nyingi hapa JF. wanakiri kabisa......Ishu ilikuwa kwa wanawake ambao siku zote hujifanya wao ni watakatifu na huwa hawatoki nje ya ndoa zao kama hawajawahi kutendwa. Sasa ishu kama hii, mwanamke hajawahi kutendwa na mumewe, lakini ndio likatokea la kutokea mwanaume baioloji imesizi mpaka kifo kiibuke....Hawa 'watakatifu' ambao hawawezi toka nje ya ndoa zao kama waume zao hawajawatenda....watavumilia mpaka kifo kiwachukue?

Hilo tu basi!
 
Orait orait.........siwezisemea moyo wa mtu but ninaamini kbisa kuwa wapo ambao wanawezavumilia hadi kifo kimchukue mwenzake na hili pia linategemea
1. Kiwango cha Imani ya mtu na upendo alionao kwa mwenzi wake.
2. Umri wa hao wanandoa- kama wamekula chumvi kiasi mwanamke anaweza akavumilia (Kwa umri wa Mama yangu inaniwia vigumu kuamini kuwa anaweza akachakachuliwa nje iwapo lolote litatokea kwa baba) but kwa wenzi ambao bado wanadai kiumri (hasa kizazi hiki chetu) kusema kweli hata nikisema ndio wanaweza ntakuwa nawasemea uwongo).

Hivi Mwanaume ambaye amepatwa na matatizo ya kushindwa kutimiza majukumu yake anawezatoa ruhusa kwa mkewe aende akajisevie nje kama wafanyavyo wanawake ambao hufikia hata wakati mwingine anakwambia ' Baba chanja, si unaona mwenzio kiuno sina tena hapa, na siwezi KUKUHUDUMIA. Hebu ntafutie mwenzangu anisaidie kukuTUNZA'

Hivi huku ni kupenda kwa ukweli??
 
Aisee ntakujibu badae kwenye hii yuziful pointi kwenye bold....
we ni mtu mkareeeee!
nakutafutia kitu kikareeee
Tujumike tuka pareeee,
Turuke hapa na pareeee.

Ngoja niwahi daladala kwanza. Ntarudi mjukuu mtiifu wa babu mimi.
 
Yakikufika utarudi humuhumu kuomba ushauri, meanwhile hakuna wa kumnyooshea kidole mwenzake kama mungu mwenyewe alivyotuambia[/QUOTE]

Kwa hiyo unaona kutoka nje ndo sululu ya matatizo ya ndoa? Sinyooshei mtu kidole lakini naona kwa wengi imekuwa kama mtindo vile bila kuwa na 2nd partner kwani haiwezekani? Au adhabu pekee ya kumpa mwenzi wako ni kucholopoka nje?
 
Dena Amsi;1656030]Yakikufika utarudi humuhumu kuomba ushauri, meanwhile hakuna wa kumnyooshea kidole mwenzake kama mungu mwenyewe alivyotuambia[/QUOTE]

Umeshajipa jibu tayari[/QUOTE]

Hiyo Post kwenye Red ni ya Gaga, siyo Yangu DA. Mbona kule kwenye Post ya ''mkilicholopoka nje wangapi mnatumia Condom'' umekana haucholopoki? Kwa hiyo Kutoka nje ndo sululu ya matatizo ya Ndoa yako? Tabia ni tabia tu, uwe na 80 yrs na mimi mwenye 40s haina tofauti.
 
1. Kiapo kinatekelezeka bila wasiwasi.
2. Kwakweli kama una mapenzi na mumeo huwezi kufanya hivyo. Kwanza ni kujiletea mikosi.
3. Kama bailojia yake sio riziki itabidi tukubaliane mimi niwe na mtu mwingine wa kuniondolea mihemko ila yeye mume wangu nitamuhudumia na kumuheshimu kama kawaida.(mbona umestuka)?
 
Hahahaahahahahahahahah Husninyo nimecheka bila ridhaa yangu na cheko hili limenidhihirishia kuwa nimekuelewa na kukusoma vizuri nso bado niko sober so.............Dada Eliza hebu niongezee tafadhali
 
Ndugu Asprin, mimi sijui hii sredi ilianza lini, wala sijui imefikia wapi, ila nitaeleza kama ifuatavyo.

1.Hiki kiapo kwamba “nitakuwa mwaminifu mpaka kifo kitutenganishe” kinatekelezeka? Is it practical kwa wanawake? (Kwa wanaume sitii neno hapo, kwa sababu liko wazi kabisa)
!

Hapo kwenye Red, haiko praktiko kwa wote wawili...

[/QUOTE]2.Eti mwaweza kwenda kuliwa uroda ilhali mumeo unayempenda sana mpaka ukaamua kuhamia kwake yu kitandani hoi? Nadhiri haziwasuti? (Ningekuwa Mungu mngenitambua hakyanani)![/QUOTE]

Hivi unaweza kumpenda mtu mzima mmekutana barabarani, kwani umemzaa? Nakwambia hapa kila mtu anakuwa na malengo yake, si mapenzi, ni kutimiza malengo tu, otherwise hiyo namba 1 hapo juu isingetokea!!

[/QUOTE]3.Je mwaweza kuvumilia muda gani wakati mnajua kabisa huyu unayelala naye kitanda kimoja baioloji yake ishakuwa si rizki? Mwaweza kuvumilia mpaka ziraili mtoa roho afanye kazi yake? (Hapa mnaweza kuniambia kwa PM manake najua wengine mwaogopa kusema hadharani)![/QUOTE]

Nafikiri kikubwa kinachowakutanisha bibi na bwana ni hiyo huduma, sasa kama haipo unategemea nini, si lazima abonyeze energency buttons?

[/QUOTE]Babu ako konfyuzdi na ameanza kuogopa kutenguka kiuno….Bibi bado anadai wasije wakanichakachulia kwenye hili banda nililojenga kwa pesa za mkopo;![/QUOTE]

Wakiamua kuchakachua, watachakakua hata ukisafiri, hata ukienda job, hata ukirudi uko bwiiiiiiiii... sio lazima kiuno kiwe upande

[/QUOTE]Angalizo: Hii mada ni serious na atakayeenda Ofu Topic….nambwenga makwenzi afu anakula BAN![/QUOTE]

Afu huo msosi hata mimi nauhitaji
 
Hahahaahahahahahahahah Husninyo nimecheka bila ridhaa yangu na cheko hili limenidhihirishia kuwa nimekuelewa na kukusoma vizuri nso bado niko sober so.............Dada Eliza hebu niongezee tafadhali

yaaani hapo nimeongea ukweli wangu mtupu kutoka ndani kabisa ya figo.
Au we unaonaje?
Sema ukweli wako.
 
Hivi bado tunaendelea kumbe? Ngoja niongeze hii nimetoka kwetu kufata hiyo bamia/tango km haipo natafuta nn?
 
Back
Top Bottom