Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Hawa radicals wa middle east ni watu wa ajabu sana. Wana sugu ya fujo fujo ndani ya mioyo yao.
Ni aina ya watu amabao wana taka uishi kutokana na misingi yao ya fujo fujo. Wakipigana na wewe hata kama unawashinda watataka ushinde wanavyotaka wao.
Unasema unapigana na Israel kuitafutia haki Palestine utafikiri watu walio chini yako wametosheka haki.
Unapigana na Israel kwa kujificha nyuma ya watu wasio na hatia, alafu wakifa unalalamika Israel inaua watoto.
STUPID RADICALS!!!