Forrest Gump
JF-Expert Member
- Jul 2, 2021
- 797
- 2,314
Niliudhika sana ndotoni
Najua hautofanya hilo
Nakupenda
Najua hautofanya hilo
Nakupenda
Ilaaa😹😹😹😹😹😹Hahah ukute huyo sio jamaa ni seran in other version
😹😹😹Ampe anuse hata harufu tuu
After two hrs kuna uzi utaanzishwa na seran akipinga vikali kuanzishiwa nyuzi😆😆 kimahabaMwenzako katoka kuwashiwa moto huko.. Kama huyu unammudu haya😂
Hahaha vipi hali lknIlaaa😹😹😹😹😹😹
Sema humu hamna kinachoshindikana🙌🏻🙌🏻
Najiuliza tu hivi mtu ukiwa na hela na kazi za kufanya , utapata muda wa kuandika kwa mfululizo nyuzi za kipimbi kama zako ?Niliudhika sana ndotoni
Najua hautofanya hilo
Nakupenda
kwani ni chizi😆Mtoa mada anachekesha akiwa hatoki kwenu
Na ukute seran sio seran ni kijeba kimekomaaHahah ukute huyo sio jamaa ni seran in other version
Ni balaaNa ukute seran sio seran ni kijeba kimekomaa
Kiutani utani unakuta dogo ana jimenyea huko 😅😅Muda wa kurusha ndoano