Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 5,603
- 14,183
Jamaa kamatchisha shati na mtungi wa gesi
😂😂😂After two hrs kuna uzi utaanzishwa na seran akipinga vikali kuanzishiwa nyuzi😆😆 kimahaba
Asisahau pia nae anaweza kuishia kumegwa na investors waliowekeza kwa huyo mamsiKiutani utani unakuta dogo ana jimenyea huko 😅😅
Nimewaza kama wewe, hizi ni IDs za mtu mmoja, anakuja kujitongoza halafu baadae anakuja kujifokeaAfter two hrs kuna uzi utaanzishwa na seran akipinga vikali kuanzishiwa nyuzi😆😆 kimahaba
kuna mambo yanashangaza kinoma halafu ajitukana kabisa mpaka matusi ya nyeti zake😆Nimewaza kama wewe, hizi ni IDs za mtu mmoja, anakuja kujitongoza halafu baadae anakuja kujifokea
🤣🤣🤣🏃🏃kumekuchaSeran huyu kijana anakaribia kuokota makopo,.
Mpe nafasi jamani😹
Jamaa unakuta ni risk taker yeye hajali ambalo litamkuta 😁😁Asisahau pia nae anaweza kuishia kumegwa na investors waliowekeza kwa huyo mamsi
Aonjeshwe kidogo aingize hata kichwa tuSeran huyu kijana anakaribia kuokota makopo,.
Mpe nafasi jamani😹
Muache tu, miamba watamtatua kama pazia la hekaluJamaa unakuta ni risk take yeye hajali ambalo litamkuta 😁😁
kuna mambo yanashangaza kinoma halafu ajitukana kabisa mpaka matusi ya nyeti zake😆
Hahaha noma sanaAnajiripoti na kwa mods.. 😁
Sema nini.....Seran unajipakulia minyama tu
Jamaa ana msemo usemao, uwoga wake ndio ungekuwa ukosaji wa tunda 😅..Muache tu, miamba watamtatua kama pazia la hekalu
Huu n uwendawazimu aisee 😂kwani ni chizi😆
Anikome jamani! Hivi uzi wa chai ya rangi umepoteaje? Mbona hizi zinaachwa tu? Au ndio mods wanaona nafurahia sana🥹Seran huyu kijana anakaribia kuokota makopo,.
Mpe nafasi jamani😹
Aje anianzishie tena uzi?Ampe anuse hata harufu tuu
Lols no time for stupid stuffs!Hahah ukute huyo sio jamaa ni seran in other version