Ulijaaa sana[emoji13]Haukuja full...ila walijitahid sana
Ulikuwepoo ?🤣🤣🤣Ulijaaa sana[emoji13]
Picha zimedhibitisha[emoji23]Ulikuwepoo ?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa macho yangu niliona malengo mengi hasa majukwaa ya juu ya kusini mwa uwanja. Lkn kumekuwa na mabishano ya kadhaa huku wengine wakisema Simba waliujaza uwanja (full house). Pengine nina shida ya macho.
Wengine mlionaje?
Siyo shida ya macho tu uliyonayo hata ya uandishi pia "malengo" inaingiaje hapo?Kwa macho yangu niliona malengo mengi hasa majukwaa ya juu ya kusini mwa uwanja. Lkn kumekuwa na mabishano ya kadhaa huku wengine wakisema Simba waliujaza uwanja (full house). Pengine nina shida ya macho.
Wengine mlionaje?
Akili zako ni za std 7. kujaa unakuelewaje? jana waliingia mashabiki 51,848. unataka kusemaje hapo?
Kwa neno kujaa ninavyo jua..sio kweli kwamba uwanja ulijaa
Mumehamia kwenye kujaza uwanja sasa . Hii nchi!!!
Haukuja full...ila walijitahid sana
Mkuu muone daktari wa macho kabla Mambo hayajaharibika zaidiKwa macho yangu niliona malengo mengi hasa majukwaa ya juu ya kusini mwa uwanja. Lkn kumekuwa na mabishano ya kadhaa huku wengine wakisema Simba waliujaza uwanja (full house). Pengine nina shida ya macho.
Wengine mlionaje?
Siyo shida ya macho tu uliyonayo hata ya uandishi pia "malengo" inaingiaje hapo?
Mkuu muone daktari wa macho kabla Mambo hayajaharibika zaidi
Mutaweweseka hivyohivyo mpaka mufe kwa vihoro shenztype guruguja nyie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa macho yangu niliona malengo mengi hasa majukwaa ya juu ya kusini mwa uwanja. Lkn kumekuwa na mabishano ya kadhaa huku wengine wakisema Simba waliujaza uwanja (full house). Pengine nina shida ya macho.
Wengine mlionaje?