Eti jana uwanja ulitapika?

Eti jana uwanja ulitapika?

mjogoro

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2011
Posts
882
Reaction score
652
Kwa macho yangu niliona malengo mengi hasa majukwaa ya juu ya kusini mwa uwanja. Lkn kumekuwa na mabishano ya kadhaa huku wengine wakisema Simba waliujaza uwanja (full house). Pengine nina shida ya macho.

Wengine mlionaje?
 
Kwani siku izi ile sheria ya korona haitumiki?

Na kama haitumiki, JPM alikua yuko sawa.
 
Kwa macho yangu niliona malengo mengi hasa majukwaa ya juu ya kusini mwa uwanja. Lkn kumekuwa na mabishano ya kadhaa huku wengine wakisema Simba waliujaza uwanja (full house). Pengine nina shida ya macho.

Wengine mlionaje?
Siyo shida ya macho tu uliyonayo hata ya uandishi pia "malengo" inaingiaje hapo?
 
Naomba ujenge utamaduni wa kusoma vzr before attempting questions. Otherwise ni hasara kwa taifa
Akili zako ni za std 7. kujaa unakuelewaje? jana waliingia mashabiki 51,848. unataka kusemaje hapo?
 
Kwa macho yangu niliona malengo mengi hasa majukwaa ya juu ya kusini mwa uwanja. Lkn kumekuwa na mabishano ya kadhaa huku wengine wakisema Simba waliujaza uwanja (full house). Pengine nina shida ya macho.

Wengine mlionaje?
Mkuu muone daktari wa macho kabla Mambo hayajaharibika zaidi
 
Ahsante kwa ushauri. Nadhani hata mtangazaji wa jana atafute tiba ya macho. Coz alisema watu ni wengi ila kuna mapengo kadhaaa
Mkuu muone daktari wa macho kabla Mambo hayajaharibika zaidi
 
Kwa macho yangu niliona malengo mengi hasa majukwaa ya juu ya kusini mwa uwanja. Lkn kumekuwa na mabishano ya kadhaa huku wengine wakisema Simba waliujaza uwanja (full house). Pengine nina shida ya macho.

Wengine mlionaje?
Mutaweweseka hivyohivyo mpaka mufe kwa vihoro shenztype guruguja nyie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

THIS IS SIMBA.....

Mmetoka katika penati ya kupewa ,ulipokumbushwa VAR ilikuwepo[emoji22]

Mkaja kwenye kagoli kenyewe kamoja ,[emoji24] mlivyoona matokeo ya mechi zote za robo za CL na CC ni SIMBA SC pekee ndio iliyopata matokeo mazuri [emoji23]

Mnakuja kwenye kujaza uwanja[emoji25][emoji25]
mmeletewa picha za uwanjani[emoji23]

Sasa mnasonya tu,SHUBAMIT WAHED

UTOPOLO WATU WENYE AKILI NI WAWILI TU MZEE SUNDAY MANALA NA KIKWETE,

wengine wote ni mavimavi tu[emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

View attachment 2192004
 
Attachments

  • IMG-20220418-WA0014.jpg
    IMG-20220418-WA0014.jpg
    60.7 KB · Views: 14
  • salim_tryagain-20220418-0001.mp4
    1.5 MB
Back
Top Bottom