figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Data hazipo sawa, ila kwa Tech na vifaa vya kisasa kenya wametuachaa
Okay sawaWangekuwa wametuacha basi Kenya ingekuwa salama sana kuliko Tanzania, ila kwa bahati mbaya nusu ya Kenya haishiki.
Tanzania nature yake ni ukimya na sio kujitangaza, vifaa vya jeshi sio bidhaa za maonesho Kila mtu ajue.
1. Chanzo cha hii ni kipi?Hii ni ajabu. Kenya wametoa wapi nyambizi?
Kama wana Nyambizi, basi Tanzania tujitafakari.. Samia acha kupamba na CHADEMA. kama una uwezo ondoa njaa Nchini Tanzania
View attachment 3575690
Tatizo la mada lipo hapo; unapomtegemea mtu asiyekuwa hata na sifa ya kuwa kwenye nafasi hiyo.Samia acha kupamba na CHADEMA. kama una uwezo ondoa njaa Nchini Tanzania
Kama wanayo hata moja ni 'excess inventory' toka kwa wakubwa; kama zile helikopta walizoahidiwa miaka michache iliyopita.Unawajua Kenya ama unawasikia, hao hata wakikuta hata mtoto kutengeneza boya linaingia ndani ya maji bila kuvuja Wana count nyambizi.
Kaangalie GDP Yao mchanganuo wake uone vichekesho.
Kenya hawana Submarine ya kivita hata moja.
Dunia ya leo hii siyo siri mkuu.Tanzania nature yake ni ukimya na sio kujitangaza, vifaa vya jeshi sio bidhaa za maonesho Kila mtu ajue.
Mawazo ya lumumba hayoWangekuwa wametuacha basi Kenya ingekuwa salama sana kuliko Tanzania, ila kwa bahati mbaya nusu ya Kenya haishiki.
Tanzania nature yake ni ukimya na sio kujitangaza, vifaa vya jeshi sio bidhaa za maonesho Kila mtu ajue.
Wangekuwa wametuacha basi Kenya ingekuwa salama sana kuliko Tanzania, ila kwa bahati mbaya nusu ya Kenya haishiki.
Tanzania nature yake ni ukimya na sio kujitangaza, vifaa vya jeshi sio bidhaa za maonesho Kila mtu ajue.
Salama ina what sense? Salama na kuwa na vifaa kuna relation but dynamic.Wangekuwa wametuacha basi Kenya ingekuwa salama sana kuliko Tanzania, ila kwa bahati mbaya nusu ya Kenya haishiki.
Tanzania nature yake ni ukimya na sio kujitangaza, vifaa vya jeshi sio bidhaa za maonesho Kila mtu ajue.