rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 18,360
- 26,244
Kenya kuna kituo cha kijeshi cha Marekani, lakini hii habari ya kuwa na nyambizi 150 si za kweli.
Vifaa vya kivita vinaendana na uchumi wa nchi. GDP ya Kenya ni kubwa kuliko ya Tanzania hivyo haishangazi bajeti ya Kenya ya kijeshi kuwa kubwa kuliko Tanzania. Tanzania inaweza kuwa na matamanio ya kuongoza kuwa na jeshi la kisasa la vifaa vya kivita imara katika ukanda wa SADC lakini uchumi hauruhusu, hivyo itaishia kujaza vijana wa kucrawl tu kwenye matope wakati wenzenu wanajaza makombora ya masafa marefu.Unawajua Kenya ama unawasikia, hao hata wakikuta hata mtoto kutengeneza boya linaingia ndani ya maji bila kuvuja Wana count nyambizi.
Kaangalie GDP Yao mchanganuo wake uone vichekesho.
Kenya hawana Submarine ya kivita hata moja.
Unge Google kabla ya kuandika ungeona budget ya Kenya na Tanzania ya Jeshi ni sawa, wote tunaspend 1.2-1.3B USD, roughly Trilioni 3 za madafu.Vifaa vya kivita vinaendana na uchumi wa nchi. GDP ya Kenya ni kubwa kuliko ya Tanzania hivyo haishangazi bajeti ya Kenya ya kijeshi kuwa kubwa kuliko Tanzania. Tanzania inaweza kuwa na matamanio ya kuongoza kuwa na jeshi la kisasa la vifaa vya kivita imara katika ukanda wa SADC lakini uchumi hauruhusu, hivyo itaishia kujaza vijana wa kucrawl tu kwenye matope wakati wenzenu wanajaza makombora ya masafa marefu.