Vifaa vya kivita vinaendana na uchumi wa nchi. GDP ya Kenya ni kubwa kuliko ya Tanzania hivyo haishangazi bajeti ya Kenya ya kijeshi kuwa kubwa kuliko Tanzania. Tanzania inaweza kuwa na matamanio ya kuongoza kuwa na jeshi la kisasa la vifaa vya kivita imara katika ukanda wa SADC lakini uchumi hauruhusu, hivyo itaishia kujaza vijana wa kucrawl tu kwenye matope wakati wenzenu wanajaza makombora ya masafa marefu.