Eti (king'asti)umeolewa au upo single?mwenzio sijiwezi huku!!!

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
7,113
Reaction score
950
Najua utaona kama nakutania lakini kiukweli nakupenda sana.
Siri wala silali kwa kwa mawazo juu yako kimwana.Pls niwekee PM kama unadhani nina hadhi ya kushika madaraka ya ndani ya moyoni mwako!!
Hali mashauri ya moyo wangu imekupitisha kwa kura nyingi za ndio!!
Nakupenda sana aise lol!
 

Kwa ninavyomjua King'asti sijui........
Kama umeweza kuandika hulali kwa ufasaha.......hiyo huli imekushinda nini........?
 
Last edited by a moderator:
Ngoja mimi nijitolee kumwambia ukweli mandieta
maana naona watu mnamzunguka tu ban ban....... King'asti keshaolewa zamaaaani, na mumewe anaitwa Paw..... ukiona ban zinatajwa sana kwenye hii mada ujue mtoaji ban ndo huyo shem wetu.
kwa usalama wako funga tu huu uzi, usiju ukajikuta wewe na uzi wote mmepotea......
chaguo ni lako
 
Last edited by a moderator:
Cc: Paw
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…