Eti (king'asti)umeolewa au upo single?mwenzio sijiwezi huku!!!

Naomba unishauri my dear. Nna miaka 8 sijatongozwa so this came as a shock. Ngoja kwanza.
Paw, Paw, Paw kitu gani? Kijana kafunguka nashangaa watu wanamwita Paw. Kwani,kaitwa yeye hapa? Dear we jibu tu ndio au hapana. Hata hiyo kamusi mi sioni ya kazi gani, ukitaka nitakutafsiria mimi!
 
Last edited by a moderator:
Najua utaona kama nakutania lakini kiukweli nakupenda sana.
Siri wala silali kwa kwa mawazo juu yako kimwana.Pls niwekee PM kama unadhani nina hadhi ya kushika madaraka ya ndani ya moyoni mwako!!
Hali mashauri ya moyo wangu imekupitisha kwa kura nyingi za ndio!!
Nakupenda sana aise lol!

Uki survive ban hadi kesho asubuhi na mie namrukia King'asti kwenye PM moja kwa moja...
 
Last edited by a moderator:
Afu wewe siku hizi sijui umehamia kwa kina mwigulu chemba? Paw hajawahi kumpiga ban mtu kwa ajili yangu. Ni mwanaune alie rational, anajiamini na anajua kazi yake. Hachanganyi mapenzi na kazi, ana brain ya kufanyia kazi na ya nyumbani. Anatambua anapendwa na anaheshimiwa, hahitaji ban kulinda penzi. Infwact yeye ndo aliniamsha kuwa kuna uzi nimedediketiwa nikaishia kumbaka tu!
Uki survive ban hadi kesho asubuhi na mie namrukia King'asti kwenye PM moja kwa moja...
 
Last edited by a moderator:
Paw, Paw, Paw kitu gani? Kijana kafunguka nashangaa watu wanamwita Paw. Kwani,kaitwa yeye hapa? Dear we jibu tu ndio au hapana. Hata hiyo kamusi mi sioni ya kazi gani, ukitaka nitakutafsiria mimi!

He... kumbe na wewe unayaweza ya ushenga ee...!!? lakini wamemwambia kwa wema tu ajue what might be the cost of loving King'asti, mie shahidi, tangu nimeacha kum pm nimeanza hata kusahau ladha ya ban..
 
Last edited by a moderator:
Afu wewe siku hizi sijui umehamia kwa kina mwigulu chemba? Paw hajawahi kumpiga ban mtu kwa ajili yangu. Ni mwanaune alie rational, anajiamini na anajua kazi yake. Hachanganyi mapenzi na kazi, ana brain ya kufanyia kazi na ya nyumbani. Anatambua anapendwa na anaheshimiwa, hahitaji ban kulinda penzi. Infwact yeye ndo aliniamsha kuwa kuna uzi nimedediketiwa nikaishia kumbaka tu!

hahaha,mendieta kazi kwako,kunyoa au kusuka,au dedicated na ule wimbo wa Mr Nice- King'Ast!!!!
tuone kama paw atamkimbiza mwizi wake kimya kimya thru pm au tutaona mendieta- banned!!!!
 
Last edited by a moderator:
Afu wewe siku hizi sijui umehamia kwa kina mwigulu chemba? Paw hajawahi kumpiga ban mtu kwa ajili yangu. Ni mwanaune alie rational, anajiamini na anajua kazi yake. Hachanganyi mapenzi na kazi, ana brain ya kufanyia kazi na ya nyumbani. Anatambua anapendwa na anaheshimiwa, hahitaji ban kulinda penzi. Infwact yeye ndo aliniamsha kuwa kuna uzi nimedediketiwa nikaishia kumbaka tu!

That is very nice of yours lakini co occurence ya matukio inashawishi kuamini hivyo, kwa nini wimbi la ban liniandame sana at that very time when i was trying hard to be close to you na nilipojiweka pembeni ikawa ndo mwisho...!? sishawishiki kuamini kwamba that was just a mere coincidence...!!!
 
Last edited by a moderator:
Hivi ulishawahi kujaribu kuwa close na mimi? Sio nakuwa jeuri but i never noticed. Swagga za Paw sijawahi kuona humu ndani, hata Maxence Melo hamkutii hata kwa dawa. The guy's got swaggz jamani, hapa magoti ndembendembe sijiwezi mie. Wala hahitaji mlinzi wa kimasai, anajijua anapendwa.

Back
Top Bottom