CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 950
- Thread starter
- #81
Jamani ongea neno moja tu ili ninenepe maana hapa tayari nshakua kama uzi,na hiki kimvua cha alfajiri cha dar basi we!?hatari tupu kimwana.Afu wewe siku hizi sijui umehamia kwa kina mwigulu chemba? Paw hajawahi kumpiga ban mtu kwa ajili yangu. Ni mwanaune alie rational, anajiamini na anajua kazi yake. Hachanganyi mapenzi na kazi, ana brain ya kufanyia kazi na ya nyumbani. Anatambua anapendwa na anaheshimiwa, hahitaji ban kulinda penzi. Infwact yeye ndo aliniamsha kuwa kuna uzi nimedediketiwa nikaishia kumbaka tu!
Usihofu nina hazina ya kutosha ya mapenzi inakungoja wewe mahabuba.
Katu siwezi ipeleka kwingine 'mpenzi'
Nikiiona comment yako hapa moyo wangu unaruka kichurachura lol!
Last edited by a moderator: