Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,479
- 9,551
Nna vigezo kaka. Na siko desperate. Nimetulizwa nikatulia mie mtoto wa kike. Sina tamaa
nikitaka greener pastures i take my wattering can kama dawasco wamamikatili.
Oya afu kumbuka leo ni wikiend

King'asti apo una maanisha una kidumu tayari cha kumwagilia in case dawasco wameshindwa kukupa huduma?😕😕😎Nna vigezo kaka. Na siko desperate. Nimetulizwa nikatulia mie mtoto wa kike. Sina tamaa
nikitaka greener pastures i take my wattering can kama dawasco wamamikatili.
Ni vitu viwili tu vitutambulishavyo JF...
1. Avatar
2. ID
Sasa huwa napata sana tabu mtu atongozaye hivyo vitambulisho viwili maana the bottomline yajulikana vyote ni feki.
Ulimwengu wa dijital na vioja vyake
Hahah mpwa kweli huu ni ulimwengu wa dijitali...
Kheeeeerrrrrrrrr!
Paw mi nimesoma tu sijachangia kitu.kwanza uzi wenywe nimeuona leo!
Aftena mandieta hata simjui hakyamama vile.mi nlikuwa najipitia zangu ndo nikakuta kina Nicas Mtei Ruttashobolwa, FP na Preta wanaonge ongea hapa mi nikawauliza kwan niiiini eti oh King'asti kaanzishiwa sredi .mi hata sikusema kitu!nikawa nimejikalia tu kimya.
Kheeeeerrrrrrrrr!
Paw mi nimesoma tu sijachangia kitu.kwanza uzi wenywe nimeuona leo!
Aftena mandieta hata simjui hakyamama vile.mi nlikuwa najipitia zangu ndo nikakuta kina Nicas Mtei Ruttashobolwa, FP na Preta wanaonge ongea hapa mi nikawauliza kwan niiiini eti oh King'asti kaanzishiwa sredi .mi hata sikusema kitu!nikawa nimejikalia tu kimya.
Ni vitu viwili tu vitutambulishavyo JF...
1. Avatar
2. ID
Sasa huwa napata sana tabu mtu atongozaye hivyo vitambulisho viwili maana the bottomline yajulikana vyote ni feki.
Umekaa kimya kwa kumwonea huruma dogo au unasaidia kumwombea kwa mhusika ili jibu lipatikane haraka...
Nimeamini kwamba kuna watu hawana huruma,
Hivi mtoto wa mwenzio siyo mwanao??
Kwa nini unamwacha mwana wa mwenzio anasota 48hrs bila kura wala kurara??
Babu DC!!
Ni vitu viwili tu vitutambulishavyo JF...
1. Avatar
2. ID
Sasa huwa napata sana tabu mtu atongozaye hivyo vitambulisho viwili maana the bottomline yajulikana vyote ni feki.
ma mkwe upo juuu!!!! pamoja na uzee wote huo bado wanakumezea mate...!!!!
Uzee wake umeupima kwa kutumia nini?
Mbona yeye mwenyewe hajasema kuwa ni kikongwe?
Au na wewe umeingia dili la kutaka kumuua mwenzenu kwa njaa na usingizi??
Babu DC!!