Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,270
- 111,361
orait shemm.... have a sweet ( but not wet) dream.
Speechless...seimu zea shem, mie penda weye!!!
orait shemm.... have a sweet ( but not wet) dream.
mwanamke pozi bana.... utajibuje haraka haraka!!!!!
hiyo ni rushwa ya malavi davi....au nikuanzishie thread!!!! hehehehe....
Speechless...seimu zea shem, mie penda weye!!!
Wakongwe tushausoma mchezo
Umekulia pande gani wewe au ndo mara yako ya kwanza kuishi na babu?
Mjukuu aweza kuitwa jina lolote....mke, mdogo mtu, mchumba, bibi, mama....!!
Babu DC!!
mwenzangu, nilikuwa nampa taarifa asiyoijua,Mbona unatumia lugha ya vitisho mkubwa mwenzangu?
umesahau wimbo komando kwamba usiusemee moyo?
Jumapili yangu ilikuwa bomba sana, sijui yakojumapili yako ikoje?
Niliitumia ipasavyo mana nililala mpaka saa 10 jioni nikaamka mpaka saa kumi na mbili nikalala tena hadi nilipoamka saa nne!Jumapili yangu ilikuwa bomba sana, sijui yako
Hongera.....Niliitumia ipasavyo mana nililala mpaka saa 10 jioni nikaamka mpaka saa kumi na mbili nikalala tena hadi nilipoamka saa nne!
Ng'ombe hazeeki maini bhana!ma mkwe upo juuu!!!! pamoja na uzee wote huo bado wanakumezea mate...!!!!
Naona sijui kakimbia mji maana hata ukimquote holla!!wala ujachelewa nikuwa naona bado atakuwa anajifikiria!Hongera.....
btw, @amu ulimpata? maana tangu uweke ule uzi hatujapata feedback, au mimi ndo nimechelewa kupata taarifa?
mwenzangu, nilikuwa nampa taarifa asiyoijua,
maana kauliza kama yupo single.
ha haaa, mkubwa mwenzangu kuna kutiana moyo kwa hili?Poa mkubwa mwenzangu,
Mie niliona kama unaongeza pressure ya kumjenga hofu ili a drop out..
Mpeni moyo basi mwenzenu ili walau ajibiwe..
Babu DC!!
@mandieta una akili sana wewe kama yule kiungo mkabaji namesake wako,time for King'asti to move on jamaa anamzeesha kumwoa hamuoi,kumzalisha hamzalishi ili mradi tu na King'asti uzee ndo huooo unapiga hodi.Najua utaona kama nakutania lakini kiukweli nakupenda sana.
Siri wala silali kwa kwa mawazo juu yako kimwana.Pls niwekee PM kama unadhani nina hadhi ya kushika madaraka ya ndani ya moyoni mwako!!
Hali mashauri ya moyo wangu imekupitisha kwa kura nyingi za ndio!!
Nakupenda sana aise lol!
Ahsante mkuu!
Ahsante mkuu!
Ila mtu mwenyewe asemi kitu wala hajatoa kauli yoyote mpaka sasa!