Eti (king'asti)umeolewa au upo single?mwenzio sijiwezi huku!!!

Chakula kinacholowanisha mdomo? Ndo kikoje hicho babu?

Hebu kwanza mjibu dogo wa watu...

Kwani unashindwa nini kuandika "NDIYO" au "HAPANA" kisha ukabold na ku-underline??

Unataka kuniudhi ujue??

Babu DC!!
 
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu,

Hapa naona kama kuna mtu anataka kupiga penalt.....

Wapi Kongosho, FP na wadau wengine??

Ngoma inogile..

Babu DC!!
asante kwa kunishtua babu....
ngoja nikae mkao wa kuangalia goli linavyoingia....
isije ikawa ile ya Ghana kwa world cup? nawe ntakununia kama nilivyomnunia mtu aliniamsha niangalie Ghana wanavyoshinda kwa ile penalty kumbe ndo wakatolewa, lol!
 
Demu mwenyewe kana kwamba hajui kupendwa aise.
Yani yupo kimyaaaaaaaa lol!
 
Last edited by a moderator:

Hebu tuwekane sawa mkubwa mwenzangu...ina wezakana Ghana zetu zinatofautiana...

Kwani wewe ungependa nani aibuke mshindi??

Mie nadhani msimamo wangu unajulikana...

nawapenda sana wajukuu zangu...

Sasa na wewe unataka kuharibu....

Unadhani umeshachoma mahindi ya kutosha basi??

Mambo mazuri hayataki haraka...shauri lako...

Na pia jifunze kuchagua maneno yenye adabu....sawa??

ha haaaa, hapo babu umeni:shut-mouth:.......
ukiona umenuniwa ujue Ghana yangu imeshindwa, lol!
 
Sasa na wewe unataka kuharibu....

Unadhani umeshachoma mahindi ya kutosha basi??

Mambo mazuri hayataki haraka...shauri lako...

Na pia jifunze kuchagua maneno yenye adabu....sawa??

Babu DC!!
Dah!
Sawa babu ngoja niwe mvumilivu pia!
 
Tatizo natumia simu na haijui kuundeline na kubold. Mshauri aniletee walau kalaptop ka apple basi
Hebu kwanza mjibu dogo wa watu...

Kwani unashindwa nini kuandika "NDIYO" au "HAPANA" kisha ukabold na ku-underline??

Unataka kuniudhi ujue??

Babu DC!!
 
Tatizo natumia simu na haijui kuundeline na kubold. Mshauri aniletee walau kalaptop ka apple basi

Basi nimekubali kwamba na wewe unakaribia kuwa mtu wa 1947......

Otherwise, kwa vijana wa dotcom, sasa hivi wangekuwa wanaongelea magoli kibao...

Mie yangu macho...

Babu DC!!
 
Hehehe hafungwi mtu bao hapa babu. Mie nimedaka one touch kama kichaa na kubaka panzi. Amuulize mwenzie Paw alifukuzia hapa muda gani. Alikanyagia hadi kiatu kikaenda upande na shati likapauka mgongoni. Bado sijaona sababu ya kuacha tikitimaji langu wakati embe ni tunda la msimu.

Haya bwana,

Hata mwizi huwa hawezi kukiri kwamba kaiba bila kujali kwamba kafungiwa kuku shingoni au la....

Tuombe uzima.....

Naamini hata Kongosho hakujua kwamba kuna siku Zombie anaweza kubadilisha mambo yakawa kichwa chini miguu juu....

Mie bado nasubiri hitimisho...

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Ngoja best wangu BAK aje akuwekee kale kawimbo:
nidanganye danganye tuuu......
Ukiniambia ukweli nitaumia.....

Ngoja nijikumbushe zile kanuni za Newton...

Third law: When a first body exerts a force F[SUB]1[/SUB] on a second body, the second body simultaneously exerts a force F[SUB]2[/SUB] = −F[SUB]1[/SUB] on the first body. This means that F[SUB]1[/SUB] and F[SUB]2[/SUB] are equal in magnitude and opposite in direction.

Babu DC!!
 
Haya bwana,

Hata mwizi huwa hawezi kukiri kwamba kaiba bila kujali kwamba kafungiwa kuku shingoni au la....

Tuombe uzima.....

Naamini hata Kongosho hakujua kwamba kuna siku Zombie anaweza kubadilisha mambo yakawa kichwa chini miguu juu....

Mie bado nasubiri hitimisho...

Babu DC!!
I never say never ila hapa babu ninauhakika 100% so-help-me-God.
Hata Paw aki-RIP huyu hawezi kurithi kiti. Ndoto ya lyatonga kuwa rais hii.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom