Eti (king'asti)umeolewa au upo single?mwenzio sijiwezi huku!!!

Muendelee na nini??:A S 39::A S 39::A S 39:

Hii ndiyo inaitwa rushwa ya nini eti?

Wewe kambelelezee kwanza dogo watu halafu uje na jibu ....

Baada ya hapo tunaweza kuendelea na mambo mengine...sawa?

Babu DC
 
Asigawe kama msamaria

Ila :tape2::tape2: on special request:tape2::tape2::lying::lying:

Unataka babu awe mgawaji wa mali za bibi kama Msamaria??

I thought ungempa sifa badala ya kumponda....

Hako ka Husninyo katakuwa kajukuu tu kama wengine..

Babu DC!!
 
Asigawe kama msamaria

Ila :tape2::tape2: on special request:tape2::tape2::lying::lying:

Hayo sasa ni masihara....

Unataka tuanze mchezo wa kwenye animal farm??...kwamba "all animals are equal but some are more equal than others??

Kama unayo hiyo tabia basi wahi ukaombewe....

Babu DC!!
Retired Maj Gen DC (1947)
 
Ha ha ha ha, naona ume-insist kwenye Retired
Na hapo ndo panafanya the whole idea more exciting

Wewe endelea kujifurahisha,

Ila usije kuanza kulia lia kwamba kuna mwanamue yeyote duniani anaringa...

Ninachojua, wanaume tena wa wale 1947 ni kama simba....lazima waamue na kuwinda wenyewe.....

Otherwise hawali hata ingekuwa ni chakula kitamu na kinacholowanisha midomo..

Kila la heri na msalimie sana Zombie,

Babu DC!!
 
:A S-cry::Cry:

Anyway, ntakuja kivingine
Najua jinsi ya kumvizia simba

Wewe endelea kujifurahisha,

Ila usije kuanza kulia lia kwamba kuna mwanamue yeyote duniani anaringa...

Ninachojua, wanaume tena wa wale 1947 ni kama simba....lazima waamue na kuwinda wenyewe.....

Otherwise hawali hata ingekuwa ni chakula kitamu na kinacholowanisha midomo..

Kila la heri na msalimie sana Zombie,

Babu DC!!
:A S cry:
 
Hii style anayo tumia King'asti inaitwa usikubali haraka!
 
Last edited by a moderator:
hapa napita tu..mana hata King'asti mwenyewe nimemsahau.!
 
Last edited by a moderator:
Upo wapi kimwana mbona bado kimya?mwenzio nipo hapa nimetoa mimacho kama fundi saa aliyepoteza nati nakusubiri utoe kauli ili ninenepe!
 
Ile qt course ya kiswahili ulishahitimu? Manake nataka kutoa tamko na nadhani unahitaji mkalimani!
Upo wapi kimwana mbona bado kimya?mwenzio nipo hapa nimetoa mimacho kama fundi saa aliyepoteza nati nakusubiri utoe kauli ili ninenepe!
 
Chakula kinacholowanisha mdomo? Ndo kikoje hicho babu?

Back
Top Bottom