Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,727
- 55,401
Hahahahahah
Subiri zawadi ya ban!
unamaanisha kuna operator anashikilia hyo toto?
Hahahahahah
Subiri zawadi ya ban!
kati ya mimi na hiyo binduki yangu nani mzuri zaidi? Naipenda AK47 yangu kuliko uso wangu. Labda haitakudhuru mwaya
Hicho kigelegele ungekihifahi kwanza incase Paw akinitaliki. Nadhani in 20 yrs hivi.
Hahahaahahha...
Aseeeeee.
He he he, na wewe chagua mmoja nikupigie debe.
Najua utaona kama nakutania lakini kiukweli nakupenda sana.
Siri wala silali kwa kwa mawazo juu yako kimwana.Pls niwekee PM kama unadhani nina hadhi ya kushika madaraka ya ndani ya moyoni mwako!!
Hali mashauri ya moyo wangu imekupitisha kwa kura nyingi za ndio!!
Nakupenda sana aise lol!
Nachukua tahadhali pia!Naona kama una bahati sana lakini sijui kama kesho itafika ujapewa life ban! Hivi kwanini msitulie kama sisi? Nakushauri uje na uzi wa kuomba msamaha na useme ulikuwa unatania na ulikuwa umaanishi King'asti wa jf!
Tulikupenda sana lakini bila shaka sarver itakupenda zaidi!
hahahahaha. We mwanamke ni kchaa ujue
Naona kama una bahati sana lakini sijui kama kesho itafika ujapewa life ban! Hivi kwanini msitulie kama sisi? Nakushauri uje na uzi wa kuomba msamaha na useme ulikuwa unatania na ulikuwa umaanishi King'asti wa jf!
Tulikupenda sana lakini bila shaka sarver itakupenda zaidi!
Unamaanisha kichwa ama kichaa. Dadavua. Afu nna bonge la bifu .a wewe na hili Paw atahusika.
Yu neva noo
Atakuwa na suprise kama ya Melman kwa Gloria.
Tahadhali ndo nini tena? Huu mtongozo inabidi umuombe Kiranga awe mkalimani. Kuna language barrier hapa!
Baba nawe umepatia hapo hapo kumaliza kero yako....
thread imehamishiwa chit chat
Hili si tatizo na haita zuia adhabu!
jumapili yako ikoje?halafu umeona hiyo ndoa anayotaka kuivunja? si ana hatari huyu?
labda mwenzetu anataka likizo hapa jf
We kubali mtongozo huo. Usichunguze makosa ya lugha