Eti (king'asti)umeolewa au upo single?mwenzio sijiwezi huku!!!

Sasa kama ulali kwa sababu ya Kin'asti je siku ukimuona siutakuwa mwehu?maana ni mjeda jipange kwanza ina maana unaashiria kuvunja ndoa ya mtu??
 
Last edited by a moderator:
Sasa kama ulali kwa sababu ya Kin'asti je siku ukimuona siutakuwa mwehu?maana ni mjeda jipange kwanza ina maana unaashiria kuvunja ndoa ya mtu??
halafu umeona hiyo ndoa anayotaka kuivunja? si ana hatari huyu?
labda mwenzetu anataka likizo hapa jf
 
Sasa kama ulali kwa sababu ya Kin'asti je siku ukimuona siutakuwa mwehu?maana ni mjeda jipange kwanza ina maana unaashiria kuvunja ndoa ya mtu??

Maisha yenyewe haya kupinduana tu kaka ni lini mara ya mwisho umekutana na demu single!??

BTW it's been long since...wapi upo wewe!??
 
King'asti vipi umelala nini? Hebu njoo huku umfanye mwenzio alale maana hari halali.

Sasa najiuliza hivi siku zote anaishije kama Hari halali?
 
Last edited by a moderator:
Ni usawa wa Ukweli na Uwazi........
Ukimpenda mtu bwana, ukimtaka mtu bwana mwambie Ukweli...

Lady Jay dee Ft Domo Kaya
 

umewah sana. Why?
 
Last edited by a moderator:

Mbona mwamsemea saaaaaaaNA
 
Paw, Paw, Paw kitu gani? Kijana kafunguka nashangaa watu wanamwita Paw. Kwani,kaitwa yeye hapa? Dear we jibu tu ndio au hapana. Hata hiyo kamusi mi sioni ya kazi gani, ukitaka nitakutafsiria mimi!
We ni mtu mwema sana mkuu.
Watu wamekalia ban!ban!ban!ban!
Mie sijari bhana,nipo tayari kufa kwa ajiri ya huyo 'kigori'lol!
 
Last edited by a moderator:

Mbona unatumia lugha ya vitisho mkubwa mwenzangu?

umesahau wimbo komando kwamba usiusemee moyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…