Eti kuna maji aina ngapi kwenye mapenzi?

Eti kuna maji aina ngapi kwenye mapenzi?

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
17,694
Reaction score
17,131
Nipo Kariakoo hapa dukani. Dada mmoja maskini akaingia kununua vitu, akamwomba muuza duka maji ya kunywa.

Mwenye duka akamwuliza, maji gani unataka? Pia unataka Maji ya rangi gani? Ee me ninayo maji yangu ila ya kuuza yameisha, maji nayotoa mimi bure kabisa.

Sasa dada wa watu akashangaa kwani maji yanakuwaga na rangi kweli?

Eti maji ya rangi ndio yapi?

Eti mpenzi msomaji, maji ya rangi rangi ndio yapi hayo??
 
𝗠𝗸𝘂𝘂 𝗸𝗮𝗺𝗮 𝗶𝗸𝗶 𝗸𝘂𝗽𝗲𝗻𝗱𝗲𝘇𝗮, 𝘂𝗻𝗮𝗼𝗻𝗮𝗷𝗲 𝘁𝘂𝗸𝘂𝘁𝗮𝗻𝗲 𝗵𝗮𝗹𝗮𝗳𝘂 𝗻𝗶𝗸𝘂𝗼𝗻𝘆𝗲𝘀𝗵𝗲 𝗵𝗮𝘆𝗼 𝗺𝗮𝗷𝗶 𝘆𝗮 𝗿𝗮𝗻𝗴𝗶 𝗿𝗮𝗻𝗴𝗶 𝘆𝗮𝗸𝗼𝗷𝗲???

𝗦𝗶 𝗸𝘄𝗮 𝗯𝗮𝘆𝗮 𝗻𝗶 𝗸𝗮𝘁𝗶𝗸𝗮 𝗸𝘂𝗷𝗶𝗳𝘂𝗻𝘇𝗮 𝘁𝘂 𝗯𝗶𝗯𝗶𝗲😍, 𝗺𝗮𝗮𝗻𝗮 𝗵𝗮𝗽𝗮 𝗻𝗮𝘀𝗵𝗶𝗻𝗱𝘄𝗮 𝗸𝘂𝗶𝗲𝗹𝗲𝘇𝗲𝗮 𝗵𝗶𝘆𝗼 𝗿𝗮𝗻𝗴𝗶 𝘆𝗮 𝗵𝗮𝘆𝗼 𝗺𝗮𝗷𝗶 𝗺𝗮𝗷𝗶 😅
 
wata jifanya kukaza shingo, ila ukweli ni huu 🤒
FB_IMG_17080894624514095.jpg
 
𝗠𝗸𝘂𝘂 𝗸𝗮𝗺𝗮 𝗶𝗸𝗶 𝗸𝘂𝗽𝗲𝗻𝗱𝗲𝘇𝗮, 𝘂𝗻𝗮𝗼𝗻𝗮𝗷𝗲 𝘁𝘂𝗸𝘂𝘁𝗮𝗻𝗲 𝗵𝗮𝗹𝗮𝗳𝘂 𝗻𝗶𝗸𝘂𝗼𝗻𝘆𝗲𝘀𝗵𝗲 𝗵𝗮𝘆𝗼 𝗺𝗮𝗷𝗶 𝘆𝗮 𝗿𝗮𝗻𝗴𝗶 𝗿𝗮𝗻𝗴𝗶 𝘆𝗮𝗸𝗼𝗷𝗲???

𝗦𝗶 𝗸𝘄𝗮 𝘂𝗯𝗮𝘆𝗮 𝗻𝗶 𝗸𝗮𝘁𝗶𝗸𝗮 𝗸𝘂𝗷𝗶𝗳𝘂𝗻𝘇𝗮 𝘁𝘂 𝗯𝗶𝗯𝗶𝗲😍, 𝗺𝗮𝗮𝗻𝗮 𝗵𝗮𝗽𝗮 𝗻𝗮𝘀𝗵𝗶𝗻𝗱𝘄𝗮 𝗸𝘂𝗶𝗲𝗹𝗲𝘇𝗲𝗮 𝗵𝗶𝘆𝗼 𝗿𝗮𝗻𝗴𝗶 𝘆𝗮 𝗵𝗮𝘆𝗼 𝗺𝗮𝗷𝗶 𝗺𝗮𝗷𝗶 😅
Weka picha ya maji ya rangi rangi
Kwangu umeme unawaka leo sina mgao
 
Back
Top Bottom