Eti Kwa hii picha na hizo logo huyu ni mchezaji gani?

Eti Kwa hii picha na hizo logo huyu ni mchezaji gani?

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
IMG_20231115_213839_946.jpg

Mdau wa michezo hasa soka, unadhani Mchezaji huyu aliyecheza katika klabu husika zilizotajwa kwa Mfumo wa Nembo anaitwa nani?
 
Aliye mtesa sana Oliver Khan wold cup....ilikuwa inapigwa michomoko inagonga mwamba Rivardo amaliza shughuli wa kuitwa Ronardo de lima
View attachment 2814806
Mdau wa michezo hasa soka, unadhani Mchezaji huyu aliyecheza katika klabu husika zilizotajwa kwa Mfumo wa Nembo anaitwa nani?
Ronaldo

1993–1994
Cruzeiro34(34)
1994–1996PSV46(42)
1996–1997Barcelona37(34)
1997–2002Inter Milan68(49)
2002–2007Real Madrid127(83)
2007–2008AC Milan20(9)
2009–2011Corinthians52(29)
Total384(280
 
Watu mnapenda mpira kiasi kwamba hata Ushuzi wa Zidane mkusikia mnajua huu mzgo wa zinedine...
 
Back
Top Bottom