Eti..Kwa nini iwe ni wanawake tu?!

Eti..Kwa nini iwe ni wanawake tu?!

Ni kweli Geoff lakini mbona kina mapungufu kama hayo? Au ni akili zetu tu za kibinaadam? Eh MUNGU tusamehe kama tunakufuru!!
NI BORA UMUOMBE MUNGU AKUSAMEHE!...una heri wewe

maana kuipinga biblia ni kumpinga kristu
 
........Basi ungejua wewe mwanaume ndio rahisi kudanganywa, anaweza kutoa kila kitu alichonacho akidanganywa na mwanamke. Kumbuka Samson jinsi alivyoingizwa mkenge na Dalia.
hii ni mojawapo ya matukio yaliyomshushia mwanamke thamani mbele za mwenyezi mungu!.....

samahani dada zangu,mimi nairefer biblia,MSINICHUKIE
 
........Ndio hapo mjue mwanamke zaidi ya ujuavyo, na mwanamke hajashuka thamani mbele ya Mungu. Mungu wetu ni wa rehema/huruma na upendo, kwa Mungu hakuna mwanamke wala mwanaume............wote tunahesabiwa haki sawa.
 
NADHANI HUJAIPITIA BIBLIA VIZURI!...kwa mungu hakuna mwanamke.mwambia mwanajamiione akuthibitishie
 
Katika uumbaji wake kama unavyoeleza katika Biblia, Mungu alimmba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa MUNGU aliwaumba mwanamume na mwanamke.

Wayahudi (jews) ambao ndio waenezaji wa neno hili ndio waliowatenga wanaweake na kutowahesabu katika shughuli zao maana tunaambiwa wao walikuwa hata hawataki kuwafundisha wanawake neno la MUNGU. So ndio maana nasema inawezekana Biblia imeandikwa kwa kufuata mfumo dume.

(Sorry Mod- naona kama tunatoka nje ya mada - tutapigwa transfer hadi kwenye dini shauri zenu)

Nadhani tukirudi kwenye mada Geoof- hili suala halielezeki kwa Biblia tu bali hata society - ni social construction matter ambayo imepelekea wanaume kuonekana vijogoo pale wanapokuwa na tabia za kimalaya na wanawake kuonekama vicheche wanapokuwa na tabia sawa na hizo

......Eti wanaume hawaziniii.... na wakati nyie ndio waovu wakubwa, nyie ndio chanzo cha matatizo hapa duniani. Msingekuwa mnatongoza tuone kama huyo mwanamke atakuwa malaya!!

Pretty,

Ni vizuri ukawa specific kwamba wanawake wa kiafrika mnasubiri mwanaume ndiye aanze kutongoza lakini kwa wenzetu wa nchi za magharibi, hata mwanamke anamtongoza mwanaume akimtaka. Suala la pili kwa nini mnapotongozwa mnakubali? Mgekuwa mnakataa, sijui hao wanaume wangekuwa wanawapataje!!!!

Tiba.
 
Mnasound kama vile tunakubali kwa kuwa tu tunatongozwa! Has it occur to you kuwa it has to do with human nature? Tunakubali kwa kuwa na sisi tunahisia za kupenda na tunaamini kuwa mko genuine! Otherwise kungekuwa na tv au kioo kinachoonyesha kuwa huyu atakuumiza baadaye sidhani kama tungekuwa tunakubali mitongozo yenu!!
 
Ni kweli Geoff lakini mbona kina mapungufu kama hayo? Au ni akili zetu tu za kibinaadam? Eh MUNGU tusamehe kama tunakufuru!!

biblia imekamilika. ni wewe ndiye hielewi. unaangalia manen bila kutaka kujua yana ujumbe gani.

kwa kifupi inaonekana wewe ndiye una mapungufu. Mungu amekwisha kukusamehe kwani yeye ni mwingi wa rehema. tafuta msaada kwa watumishi wa Mungu upate kujengwa zaidi.
 
Mgombea Ubunge nashukuru sana kwa attack zako lakini ukisoma vema post zangu sidhani kama kuna sehemu nimesema mimi naielewa vema biblia! Na ndio maana nimeomba msamaha sioni sababu ya wewe kuniattack kwa maneno yako ya kashfa. Haya wewe unayejua maneno ya biblia na kuelewa maana zake nieleweshe basi badala ya kunikashfu. Mimi nina mapungufu kama binadamu yeyote yule haya we usiye na mapungufu tueleweshe basi wenzako!
 
kila mwanadamu ana mapungufu ndugu. pia sijaku-attack bali nimejaribu kuonyesha kuwa biblia haina mapungufu.

biblia kama mkusanyiko wa vitabu ni multidisciplinary in nature na kimeandikwa katika yimeline pana sana (karne nyingi) iki-cut accross different civilizations and social settings. hivyo kukuta traditionary conflicting argumnts on the face value si ajabu. muhimu kuelewa. ndio maana nimekushauri kutafuta msaadaa kabla huja-conclude kuwa ina mapungufu.

ila nikutahadharishe kuwa ukitafuta msaada kwa mtu kama blurey atakupoteza moja kwa moja.

mimi ningekusaidia japo kidogo nikijuacho ila bahati mbaya kwa sasa nimebanwa sana na shughuli, nisamehe kwa leo
 
Kuzini kunaplay part for both wanaume na wanawake.
..Jamani hebu nifafanulieni hapa. Kwenye vitabu vya dini imeandikwa kuwa mungu alisema nendeni mkazaane mjaze ulimwengu (nadhani niko sahihi hapa). Ili mwanamke aweze kuzaa ni shurti aingiliwe na mwanaume (si ndio ngono hiyo?), lakini hapo hapo binadamu amekatazwa kuzini sasa watu watazaana vipi ili wajaze ulimwengu? Sina uhakika sana kama katika maandiko kuna amri ya nendeni mkaoane mzae na kujaza ulimwengu nadhani ndoa ni ubunifu wa mwanadamu uliotokana na uchoyo wa kutaka aidha awe na mke/mume wake watu wengine wasiguse.Hapa vipi? Msaada please!!:😕😕😕
Mod sorry kama naingiza mambo ya dini lakini nataka kuelewa tu!!
 
Mkuu kuna kitu kinaitwa ndoa takatifu. Nadhani ndicho alichomaanisha Sir GOD hapa. Hata kwkenye Bible ndoa imetajwa kumbuka walipouliza juu ya kuoa akasema angeshauri mtu asioe ila kwa wale wasioweza kustahimili basi ni bora wakaoa!!
 
..Nimekugongea kidogo hapo!!. Ok, so dhana ya kuwa wanadamu wazaane wajaze ulimwengu ni theory zaidi? Vinginevyo hapa naona kuna kitu kina-hang practically bila kumegana hakuna kuzaana...twende kazi.
 
Tuliangalie hili swala kwa undani zaidi.Hii ni moja ya maswala tete ya jinsia. Moja ya ishu kubwa katika muktadha mzima wa mambo ya jinsia ( gender) ni mitizamo ya behaviours zinazoonekana ni sahihi kwa wanawake na wanaume na hili ni standard katika jamii nyingi.Watoto wa kike na wa kiume hupewa malezi yenye kuonyesha kuwa msichana/mwanamke lazima awe mwenye aibu kutenda mambo fulani hasa haya ya kujamiiana.Wavulana/wanaume wao hulelewa kuelekea kuwa viwembe kwenye mambo hayo na ni njia mojawapo ya kuonekana ni kidume kwelikweli.Kwa kweli malezi haya japo hudumisha heshima kwa wanawake, inabidi kutizamwa kwa jicho lingine hasa kwa miaka hii yenye UKIMWI.

Ulimwengu umebadilika sana na hata zile systems za kurekebisha mienendo mibaya kwenye jamii hazipo tena na hata kama zipo hazifanyi kazi. Pia kuna matatizo mapya ambayo yamejitokeza siku hizi ambayo zamani hayakuwepo.Mwanaume au mvulana mwenye kujivinjari ovyo ovyo..huweza kupata athari za kiafya na hata kifo. Ni muda muafaka kwa jamii kusisitiza heshima kwa wote... hakuna cha mvulana wala msichana.Kilicho kibaya kwa msichana ni kibaya pia kwa mvulana - ndio ukweli kwa maisha ya sasa hivi.
 
dah, WoS tumekumiss kweli hapa jamvini karibu sana. hapo umesema kweli tupu nakuunga mkono 100%!
 
Umenena vema kabisa dada na hii ndio inayoitwa social constructed - imejengwa na jamii na wala si vitabu vya dini wala nini kama asemavyo Geoff. Watoto wa kike wanalelewa wawe wanyenyekevu na ikitokea amekuwa mkali hata katika kutetea haki zake basio ataonekana kwa jicho la kikorofi bali kwa mwanaume ni sawa tena atapongezwa kabisa.
 
..Nimekugongea kidogo hapo!!. Ok, so dhana ya kuwa wanadamu wazaane wajaze ulimwengu ni theory zaidi? Vinginevyo hapa naona kuna kitu kina-hang practically bila kumegana hakuna kuzaana...twende kazi.
Laligeni kuzaa na kuijaza dunia mimi ninatafsiri kivingine- kuwa mkaoane na kuzaa (sasa hapa sijui kama family planning inakatazwa maana loh
 
Back
Top Bottom