Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,271
- 1,052
NI BORA UMUOMBE MUNGU AKUSAMEHE!...una heri weweNi kweli Geoff lakini mbona kina mapungufu kama hayo? Au ni akili zetu tu za kibinaadam? Eh MUNGU tusamehe kama tunakufuru!!
maana kuipinga biblia ni kumpinga kristu