Eti kwa wazungu wanawake kama hawa ndio warembo

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
8,082
Reaction score
17,838
Hakuna cha mzuqa,

Utakuta ni warembo tu with a fat gene lakini wanajikongoroa miili yao kwa kutokula ama kushinda na apple na maji ili wamaintain kukongoroka wenyewe wakidhani ni warembo kumbe wala.

Ebu angalia chini
340x464_1_a264d2312823eb72b75979eda9e85431@663x1024_0xc0a8399f_7619696701466676574.jpeg

Mke wa Prince william eti hapo ni mrembo kamoooonn u guys tell her to eat. Cha kuchekesha eti anatakiwa awe hivyo awe examples to the girls

hbz-amal-clooney-0506-backgrid-1525707165.jpg

Eti wanavyodai ni miongoni mwa wanawake warembo duniani miguu utadhan ya kwaree. George ambia huyo mke wako hale chakula na aache kushinda njaa.

Mwengine hapa chini angelina jolie. Sasa hizo hela nyingi unazo za nini? Kama huli? Kamoonnn
48411D7E00000578-0-image-a-8_1516716809319.jpg

Halafu ndio hawahawa wanawajaza mabinti zetu dhana na imani kuwa hivyo ndio urembo.

Dada wa taifa naye kawaiga.
 
hahahaahahaahaha again stefano..my ribs... mm nikinenepaga sana nikianza kuruka kamba mume anaichukua ananipokonya kbs anairusha batini😐.jaman wabongo mnapenda nyama nyama🙄😏..
unajua wengine wanazidisha sana kujikongoroa. Unakuta demu mzuri katoka afrika kaja ulaya mzurii na yuko early 20s baada ya mwaka ukumuona utadhani yuko kwenye late 40s kisa apendwe na wazungu nimeshashuhudia wengi hadi nakata tamaa na maisha
 
hahhahaa wanaangalia green pastures wenzako..lol
 
Kuna Casino moja ilianzishwa mwaka fulani na waRusi mimi nilikua mlinzi pale. Sasa mabinti wa ile casino walikua slim na ukinenepa kazi huna.

Binti mmoja akaniambia hao waRusi wanatafsiri wembamba ni sign ya afya njema na utajiri kwakua ukiwa maskini ndiyo utashindilia maandazi ya bakhresa na Fursana na hela ya kwenda gym hauna.
 
😂😂😂😂😂fursana😂😂😂kinywaji sikipendi hicho
 
Castr naijua hiyo casino kuna bosi mmoja kijana mrusia akamuoa mdada wa hapo alikuwa mwemwbamba wa kawaida lakini siku hizi anavisoap dish angelina jolie anasubiri, kiukweli hajapendeza.

Mambo yapo huku bwana kwenye manyamanyama hakuna kukutana na mifupa.
 
he he he he
Dawa ya mwili uwe nao kiasi, usiwe mwembamba sana, usiwe mnene sana.

Na pia ujitahidi uendano na morphology yako.
Kama ni mwembamba wa asili , jitahidi kuwa mwembamba.
Kama una umbo la kibantu, jitahidi kulipalilia lizidi kuonga....
 
Hakuna cha mzuqa,

Utakuta ni warembo tu with a fat gene lakini wanajikongoroa miili yao kwa kutokula ama kushinda na apple na maji ili wamaintain kukongoroka wenyewe wakidhani ni warembo kumbe wala.

Ebu angalia chini
View attachment 938921
Mke wa Prince william eti hapo ni mrembo kamoooonn u guys tell her to eat. Cha kuchekesha eti anatakiwa awe hivyo awe examples to the girls

View attachment 938922
Eti wanavyodai ni miongoni mwa wanawake warembo duniani miguu utadhan ya kwaree. George ambia huyo mke wako hale chakula na aache kushinda njaa.

Mwengine hapa chini angelina jolie. Sasa hizo hela nyingi unazo za nini? Kama huli? KamoonnnView attachment 938923

Halafu ndio hawahawa wanawajaza mabinti zetu dhana na imani kuwa hivyo ndio urembo.

Dada wa taifa naye kawaiga.
mwanamke wa hivyo, hata simtazami mara mbili..!
 
Back
Top Bottom