Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naam.Flexible & presentable
Kwani urembo na uzuri wa mwanamke hupimwa kwa kutumia vigezo gani?Hakuna cha mzuqa,
Utakuta ni warembo tu with a fat gene lakini wanajikongoroa miili yao kwa kutokula ama kushinda na apple na maji ili wamaintain kukongoroka wenyewe wakidhani ni warembo kumbe wala.
Ebu angalia chini
View attachment 938921
Mke wa Prince william eti hapo ni mrembo kamoooonn u guys tell her to eat. Cha kuchekesha eti anatakiwa awe hivyo awe examples to the girls
View attachment 938922
Eti wanavyodai ni miongoni mwa wanawake warembo duniani miguu utadhan ya kwaree. George ambia huyo mke wako hale chakula na aache kushinda njaa.
Mwengine hapa chini angelina jolie. Sasa hizo hela nyingi unazo za nini? Kama huli? KamoonnnView attachment 938923
Halafu ndio hawahawa wanawajaza mabinti zetu dhana na imani kuwa hivyo ndio urembo.
Dada wa taifa naye kawaiga.
Mzembe huyo mwanamke, mwangalie. Halafu ndiyo anafanya mazoezi mwili upo hivyo.Afadhali basi wawe hivi
View attachment 938934