DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Mimi nikigonga 50 ndo nataka kuoa hapa Nina 26 bado 24 hila nachopata nawasapoti wazazi Sana Na-enjoy Sana endapo nikiishi miaka 90 Kuna Huwezo wa kuwaona Hadi wajukuu kuoa Mapema huwezi kuacha LegacySio lazima. Hapa nina 34 na sina mpango
Mimi nikigonga 50 ndo nataka kuoa hapa Nina 26 bado 24 hila nachopata nawasapoti wazazi Sana Na-enjoy Sana endapo nikiishi miaka 90 Kuna Huwezo wa kuwaona Hadi wajukuu kuoa Mapema huwezi kuacha Legacy
Wew hujui kadri idadi ya watu inavyoongezeka na social pressure zinaongezeka izo shule Huwa mnaenda kusoma au kuchezaShetani anafahamu kuwa watu wakizaliwa kwa kasi watazaliwa watumishi wa Mungu hivyo atapata upinzani katika agenda yake ya "New World Order"
Tunachokijua:[emoji848][emoji848][emoji848]Hawa dada zetu naona sijui wamepatwa na Nini ukimpa tu namba yako , anafanya Kazi ya kukuchunguza Kama umeoa au hapana.
Mimi imani yangu inanambia nabidi kusaidia wazazi wangu , masikini, na Yatima tu .
Huu mradi wa Ndoa upo kiupigaji Sana . Bora nisaidie wahitaji kwanza, endapo nipokea wito ntaoa lakini sio kwa kumuonea Mtu Huruma aliyeshindwa kujitunza.
NB tuendelee kutunza Ushuhuda Uzinzi haufi na ni uchafu
Na kuyapa kipaumbele matatizo ya ndoa na mahusiano kuijumla ili vijana waogope lakini mzee kikwete juzi kwenye birthday yake wakati anahojiwa alisema matatizo ya ndoa yapo toka zamani sema utandawazi ndo unafanya yaonekane mengi kipindi hichi na hao jamaa wa new world order wanasema Africa imeanza kampeni yake mwaka 2000 na wanahitaji miaka 100 kufanikisha agenda yao mpaka sasa wako beyond the project kwa hiyo miaka 100 inaweza isifike dunia ikawa wameshaitawala.Shetani kupitia "New World Order" aahitaji watu wapungue ili iwe rahisi kusimika utawala wake kamili. Na njia anazotumia kupunguza idadi ya watu ni kupitia magonjwa(pandemic), Vita, kampeni za ushoga, uzazi wa mpango na kampeni za usawa wa kijinsia ambapo kupitia hiyo Mtoto wa kiume hudunishwa; na kampeni za kukataa kuoa
Ahsante kwa kukubaliana na MimiππΌπ§’Na kuyapa kipaumbele matatizo ya ndoa na mahusiano kuijumla ili vijana waogope lakini mzee kikwete juzi kwenye birthday yake wakati anahojiwa alisema matatizo ya ndoa yapo toka zamani sema utandawazi ndo unafanya yaonekane mengi kipindi hichi na hao jamaa wa new world order wanasema Africa imeanza kampeni yake mwaka 2000 na wanahitaji miaka 100 kufanikisha agenda yao mpaka sasa wako beyond the project kwa hiyo miaka 100 inaweza isifike dunia ikawa wameshaitawala.
ππππHawa dada zetu naona sijui wamepatwa na Nini ukimpa tu namba yako , anafanya Kazi ya kukuchunguza Kama umeoa au hapana.
Mimi imani yangu inanambia nabidi kusaidia wazazi wangu , masikini, na Yatima tu .
Huu mradi wa Ndoa upo kiupigaji Sana . Bora nisaidie wahitaji kwanza, endapo nipokea wito ntaoa lakini sio kwa kumuonea Mtu Huruma aliyeshindwa kujitunza.
NB tuendelee kutunza Ushuhuda Uzinzi haufi na ni uchafu
Wewe ulikuwa na bahati mbaya ukaoa chizi na chamoto ukakiona ila hiyo haifanyi ndoa kuwa upuuziKuoa ni upuuzi mtupu trust me..nilioa nikaona napoteza muda nikapita hivi.
#MaendeleoHayanaChama
Mtoto wako naye akioa na miaka 50 hao wajukuu utawaona kaburini au?Mimi nikigonga 50 ndo nataka kuoa hapa Nina 26 bado 24 hila nachopata nawasapoti wazazi Sana Na-enjoy Sana endapo nikiishi miaka 90 Kuna Huwezo wa kuwaona Hadi wajukuu kuoa Mapema huwezi kuacha Legacy
Subiria wazazi waanze kukupressurize kuhusu ndoa.Mimi nikigonga 50 ndo nataka kuoa hapa Nina 26 bado 24 hila nachopata nawasapoti wazazi Sana Na-enjoy Sana endapo nikiishi miaka 90 Kuna Huwezo wa kuwaona Hadi wajukuu kuoa Mapema huwezi kuacha Legacy