Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
unaweza shangaa JD naye akabeba kwa mwingine tena kiulaini tu ...haya mambo acha tu
Eeeh jide nae angejaribuu si nasikia nae huchepukaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unaweza shangaa JD naye akabeba kwa mwingine tena kiulaini tu ...haya mambo acha tu
Unanifurahishaga wewee hhhhhaaaaaaaaaaaaaaa
Huo udaku ni shidaaa, umekuja pm au?
Mali zinaweza kugawanywa kulingana na mchango wa kila mtu kwenye mali husika!
Kwenye hii issue ya G hawatafika huko!
kwanza wekeni record clear jide kaachwa au ye ndo kaacha
Swali langu hamjajibu, vikombe na grasi pamoja na vyakula ni vitu vya kumpa mtu urithi? Au lile jengo ni mali ya Jide?
hawatafika wapi!!!!!!!!!
kama wamekaa kwenye ndoa miaka 9 lazima kuna vitu wamepata pamoja tu
Akinipa ntakupa usijaliiii
Me nikopeshe..ntakulipa, ila usije kunidai kwa mingumi kama chausiku...
warumi kaniambia miee,wengine toeni pesa mpate ubuyu kwii kwii
Wameachana..........