Eti Lady Jaydee amfuta urithi G Habash

Eti Lady Jaydee amfuta urithi G Habash

Vyote vyote, ila anatia huruma, ivi mnajua ni kwa nn jide kamwaga? Ni full aibu binamu nitakupa ubuyu wote kule PM, ni shidaa

binamu ya nn pm...weka hadharan mchele huo
 
Ni wapi huyu uliye mnukuu kaongelea jengo? Ndani ya jengo kuna samani na kila kitu ambavyo hatujui kama walivichuma pamoja au lah!
Pengine hatuwezi kujua makubaliano walio kuwa nayo Jide na Gardner!

Swala la kusema kamtoa kwenye urithi kama ni kweli basi ni wazi G hana mchango wowote kwenye hizo Mali na kama angekuwa na mchango hapa swala lingekuwa ni jinsi ya kugawana mali hizo kisheria kulingana na mchango wa mtu!

Kusema Gardner katolewa kwenye urithi ni kumgeuza mtoto wa Jide!

Aa siyo mtoto bali ni tegemezi. Yaani alikuwa kaposwa na sasa kalimwa "twalaka". Sasa hivi akili itamrudia na ataanza kuweweseka; haswa akishaanza kujiuliza pa kuhemea kitoweo maana waliomdanganya sasa hivi watamwaga! Hah ha haaaaa!
 
Mhhhh warumi we kibokooo mhh maskini jide miaka 9kwenye ndoa shetani naye atuache wengine na ndoa zetu tena apite mbali manake bado no asali sitaki shubiri miye
 
Back
Top Bottom