Vyote vyote, ila anatia huruma, ivi mnajua ni kwa nn jide kamwaga? Ni full aibu binamu nitakupa ubuyu wote kule PM, ni shidaa
binamu ya nn pm...weka hadharan mchele huo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vyote vyote, ila anatia huruma, ivi mnajua ni kwa nn jide kamwaga? Ni full aibu binamu nitakupa ubuyu wote kule PM, ni shidaa
Mwaga mchele hapahapa aseeVyote vyote, ila anatia huruma, ivi mnajua ni kwa nn jide kamwaga? Ni full aibu binamu nitakupa ubuyu wote kule PM, ni shidaa
Vyote vyote, ila anatia huruma, ivi mnajua ni kwa nn jide kamwaga? Ni full aibu binamu nitakupa ubuyu wote kule PM, ni shidaa
Ni wapi huyu uliye mnukuu kaongelea jengo? Ndani ya jengo kuna samani na kila kitu ambavyo hatujui kama walivichuma pamoja au lah!
Pengine hatuwezi kujua makubaliano walio kuwa nayo Jide na Gardner!
Swala la kusema kamtoa kwenye urithi kama ni kweli basi ni wazi G hana mchango wowote kwenye hizo Mali na kama angekuwa na mchango hapa swala lingekuwa ni jinsi ya kugawana mali hizo kisheria kulingana na mchango wa mtu!
Kusema Gardner katolewa kwenye urithi ni kumgeuza mtoto wa Jide!
Ndoa ambayo haina matunda ya watoto ni shida.....!!!
Hujaelewa nini Avemaria....
Marioo tangu lini akajishughulisha?
Hapo uliposema wameachana, yaani walikaa chini wakakubaliana waachane au?
Ndoa ambayo haina matunda ya watoto ni shida.....!!!
Baba nzima linadai urithi
F.uck love, am tired of trying!