Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Ubeberu ni mfumo siyo watu.Tanzania iliingia uchumi wa kati mapema sana. Bila kuwashinda western imperialism bwawa la umeme la mwl Nyerere lisingekuwepo
Hivi nikimuita jina Baya rais wangu Dkt Rais Samia nitaonekana nina hekima japokuwa nipo jukwaa huru??? Kuna vitu vingine tumieni akiliHili ni jukwaa huru kwanini umpangie mtu wa kumkosoa?
Unachekesha sana mkuu, so Kikwete alirudisha Nchi pre Mwinyi? Hapana data nimeweka, Ukiangalia hapo 1988 tulikua $211, kweli 1992 uchumi ulidondoka hadi $172 na 1994 hadi $154Upuuzi, wakati wa Mwinyi nchi ilifilisika, yaani 1992, kila kitu kilikuwa stagnant Mkapa akainua, growth gap ilikkuwa kubwa na gains zikawa kubwa wakati wa mkapa na JK, kufikia kwa JPM lile gap lilizibwa na growth ikawa normal. Usilete upuuzi hapa
Ndio ina reflect kiasi si ndio tumbua tumbua na Decision za kipuuzi zilipoanzia?2015 inareflect kwa JPM? JPM itaanza reflection 2017, 2018, growth ipo, 2019 growth, Pamoja 2021 despite COVID; unataka kusema nini?
Hajamwita jina baya Mzee magufuli ila ametoa maoni yake tu,kumbuka pia hatuwezi kuwa na maoni yanayofanana. Wapi watu wanaomuona magufuli kuwa alikua the best president ever. Kuna watu pia wanaona magufuli alikua the worst president kwa nchi yetu, kila mtu amwage point zake.Hivi nikimuita jina Baya rais wangu Dkt Rais Samia nitaonekana nina hekima japokuwa nipo jukwaa huru??? Kuna vitu vingine tumieni akili
Wamepewa Amina nani Tena safari hii!!Mishahara inatoka kwa mafungu
Mimi ni team Rais Dkt Samia tena chawa kweli kweli, ila napenda kuheshimu viongozi wetu, ni taswira ya taifa na utaifa wetu. Siwezi anza mbeza kiongozi kisa tu alikuwa na msimamo tofauti na nilivyofikiria, dhana ya uongozi ni dhamana kubwa bila kuwa na kiongozi na mfumo imara ni vita na mauaji. Tujenge utamaduni wa kuheshimu viongozi wetuHajamwita jina baya Mzee magufuli ila ametoa maoni yake tu,kumbuka pia hatuwezi kuwa na maoni yanayofanana. Wapi watu wanaomuona magufuli kuwa alikua the best president ever. Kuna watu pia wanaona magufuli alikua the worst president kwa nchi yetu, kila mtu amwage point zake.
Wewe ukiwa team magufuli lazima ukereke unapoona watu Wana muelezea kwa mabaya au mapungufu yake,hiyo siyo sababu ya mtoa point kupoteza heshima hapa jf. Anaweza poteza heshima kwako kama supporter wa Mzee Magufuli .
Unarudia kosa lile lile unaloliona kwa mwenzako !!!Hili ni jukwaa huru kwanini umpangie mtu wa kumkosoa?
Kama kiongozi aliharibu wakati wa utawala/uongozi wake tusijadili mapungufu na mabaya yake?Mimi ni team Rais Dkt Samia tena chawa kweli kweli, ila napenda kuheshimu viongozi wetu, ni taswira ya taifa na utaifa wetu. Siwezi anza mbeza kiongozi kisa tu alikuwa na msimamo tofauti na nilivyofikiria, dhana ya uongozi ni dhamana kubwa bila kuwa na kiongozi na mfumo imara ni vita na mauaji. Tujenge utamaduni wa kuheshimu viongozi wetu
Ni kukosa hekima kwa yule anayewaza mabaya tu kwa wenzie. Dkt Magufuli kama ilivyo kwa Dkt Samia, siyo wao bali ni mifumo ndiyo yenye maamuzi. Usipende kulaumuKama kiongozi aliharibu wakati wa utawala/uongozi wake tusijadili mapungufu na mabaya yake?
Kwanini Magufuli asikosolewe? Tuliogopa kipindi kile yupo madarakani lakini siku hizi at least Uhuru wa kujadili. Hata JF wamepunguza kufuta mada hasi dhidi ya serikali.Unarudia kosa lile lile unaloliona kwa mwenzako !!!
Vyeti feki kila mkikumbuka ajira mlitumbuliwa na Magufuli roho zinawauma mnakurupuka kuanzisha uzi wa kumkejeli na kumzihakiPropaganda za akina johnthebaptist and Co. Ltd eti ni shujaa. Ushujaa wake unatoka wapi? eti alipigana vita na mabebebru, alipigana vita ipi na alishinda ipi?
Vita gani, Ya Uchumi, kuna bebebru hata mmoja aliondoka akaacha miradi yake? Sana sana we are paying dealy kwa kukurupuka kwake Magufuli!
Amekopa kwa mabeberu mpaka tukawa kwenye red mark, eti leo alipigana na mabeberu!
Waulizwe Gazeti la Chama, wakujibu.least "Uhuru" wa kujadili
Maamuzi ya serikali yanaakisi msimamo na mapenzi ya kiongozi mkuu ambaye ni Rais. Mfano Serikali ya Magufuli ndiyo ambayo inaongoza kwa kupitisha Sheria mbaya toka tumeingia mfumo wa vyama vingi ambazo hazikua na maslahi kwa wananchi bali watawala na CCM . Sheria ya habari,Sheria ya uchaguzi,Sheria ya kuzuia viongozi washtakiwe nk. Hii ina maanisha Mzee Magufuli hakua mpenda haki.Ni kukosa hekima kwa yule anayewaza mabaya tu kwa wenzie. Dkt Magufuli kama ilivyo kwa Dkt Samia, siyo wao bali ni mifumo ndiyo yenye maamuzi. Usipende kulaumu
Hivi huo Uhuru wenu mnaolazimisha kumkejeli Jpm ni wa aina gani mbona hamdai uhuru wa kumsema sema baba yakoHili ni jukwaa huru kwanini umpangie mtu wa kumkosoa?
Alikuachia vichanga video ngapi!?Propaganda za akina johnthebaptist and Co. Ltd eti ni shujaa. Ushujaa wake unatoka wapi? eti alipigana vita na mabebebru, alipigana vita ipi na alishinda ipi?
Vita gani, Ya Uchumi, kuna bebebru hata mmoja aliondoka akaacha miradi yake? Sana sana we are paying dealy kwa kukurupuka kwake Magufuli!
Amekopa kwa mabeberu mpaka tukawa kwenye red mark, eti leo alipigana na mabeberu!
Kuna kejeli kwenye post zangu? Hapa tujadili utawala wa Magufuli na kila mtu anatoa maoni yake kutokana ufahamu wake. Wewe post mazuri yake pia lakini usikomae na wenye maoni hasi dhidi ya mwendazake.Hivi huo Uhuru wenu mnaolazimisha kumkejeli Jpm ni wa aina gani mbona hamdai uhuru wa kumsema sema baba yako
Nadhani unachuki binafsi hata kama nikikuelewesha huwezi elewa. Mnajifanya kuwa eti mnamsema vibaya Dkt Magufuli kwa mabaya mnasahau hata Dkt Kikwete enzi zake aliruhusu mwandishi wa habri kuuawa mchana kabis na mfano pia Dkt Ulimboka mpaka leo ni chizi chizi baada ya kipigo ila akili zenu eti mnataka kumkomoa mtu ambaye ni mzalendo na alishafariki. Poleni sana kwa kuendelea kumfanya ajenda ya mazuriMaamuzi ya serikali yanaakisi msimamo na mapenzi ya kiongozi mkuu ambaye ni Rais. Mfano Serikali ya Magufuli ndiyo ambayo inaongoza kwa kupitisha Sheria mbaya toka tumeingia mfumo wa vyama vingi ambazo hazikua na maslahi kwa wananchi bali watawala na CCM . Sheria ya habari,Sheria ya uchaguzi,Sheria ya kuzuia viongozi washtakiwe nk. Hii ina maanisha Mzee Magufuli hakua mpenda haki.