Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Ubeberu ni mfumo siyo watu.Tanzania iliingia uchumi wa kati mapema sana. Bila kuwashinda western imperialism bwawa la umeme la mwl Nyerere lisingekuwepo
Kwa kutojua Magufuli na wajinga wenzake walijua beberu ni mtu. Hawakujua kwamba ni mfumo. Sishangai mpuuzi mmoja kama wewe unapinga ubeberu wakati huohuo unahoji upungufu wa dola nchini???
Hovyo kabisa