Eti Magufuli alipigana vita na mabeberu, vita ya uchumi, ni vita gani alishinda dhidi ya Western Impelialism?


Ningekuwa na uwezo ninepiga risasi nchi nzima tuanze upya, kuna vijana akili zao ni nzito unawezaje kusema magufuli katiwela kwenye red mark wakati matokeo kila mtu aliyaona?

Hawa jamaa sasa hivi ndo balaa zito wanakopa wanabinafsisha lakini hakuna kitu kinaenda yani nchi imestop, mradi naona bado unaenda kwakusua sua ni SGR tu sioni kingine kinaenda awamu hii ni kelee na maagizo kila siku
 
Hakwenda hata mara moja huko kwa mabeberu na miradi mingi akaianzisha na inaendelea kuifaidisha nchi kwa ujumla.

Alihitajika kiongozi jasiri kuweza kuanzisha ATCL upya na inaendelea kununua ndege kila kukicha. Alihitajika jasiri kuweza kujenga flyovers hizi za Dar licha ya wizara nzima kuwa na wapigaji wa kila aina wasiojali kesho ya nchi itakuwa vipi.

Alihitajika kiongozi jasiri kufikiria tu kujenga SGR inayokwenda kuitambulisha Tanzania kibiashara. Alihitajika jasiri kuweza kuanzisha mradi wa umeme wa maji uliopingwa na mabeberu wakishirikiana na madalali wao wa humu nchini.

JPM alikuwa ni mmoja tu na ni rahisi kutumia media kumchafua ili hao wazungu waonekane ni washindi, ni mbinu zile zile za wakati wa ukoloni zinazotumiwa mpaka leo hii.
 
Kwa hiyo hiyo corona Baada ya kumuua Magu ndio ikaishia hapohapo au iliendelea?
Maana zile mishe za kumuaga na kumzika Magu zilikusanya umati mkubwa sana wa watu kama ni kweli sidhani kama Temeke, Amana na Mwananyamala zingeweza kuhifadhi hi hao wagonjwa
 
SOMA EPIDEMIOLOGY OF CORONA VIRUS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…