Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Nyelele= nyerere?Ivi Kuna raisi ukimwacha nyelele mwenye legacy kama late Jpm,mtu mwenye legacy Aachi kuzungumziwa
Aachi = haachi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyelele= nyerere?Ivi Kuna raisi ukimwacha nyelele mwenye legacy kama late Jpm,mtu mwenye legacy Aachi kuzungumziwa
Upewe ulinziLets assume tumekubali alikopa mpaka tukawa kwenye Red mark,
1. Je matokeo ya mikopo ya Red Mark yalionekana au hayakuonekana?
2. Km tulikua kwenye Red Mark, Je tumewezaje kuendelea kukopesheka?
3. Now tunakopa kuliko alivyokopa yeye, Je now tupo kwenye Mark ya rangi gani?
4. Je matokeo ya Mikopo ya sasa ya above Red mark inaonekana?
Magufuli alikuwa ana matatizo ya human rights kwa watu wake, hasa wale ambao walimbishia, hili lilikuwa ni kosa, ingawa nchi kama UAE, Saudi, China, Singapore vilevile huwezi kumbishia kiongozi ukaachwa, lazima ufe.Propaganda za akina johnthebaptist and Co. Ltd eti ni shujaa. Ushujaa wake unatoka wapi? eti alipigana vita na mabebebru, alipigana vita ipi na alishinda ipi?
Vita gani, Ya Uchumi, kuna bebebru hata mmoja aliondoka akaacha miradi yake? Sana sana we are paying dealy kwa kukurupuka kwake Magufuli!
Amekopa kwa mabeberu mpaka tukawa kwenye red mark, eti leo alipigana na mabeberu!
Uko sahihi kabisa!Sana sana we are paying dealy kwa kukurupuka kwake Magufuli!Amekopa kwa mabeberu mpaka tukawa kwenye red mark,[emoji419][emoji375]
Tanzania iliingia uchumi wa kati mapema sana. Bila kuwashinda western imperialism bwawa la umeme la mwl Nyerere lisingekuwepoSana sana we are paying dealy kwa kukurupuka kwake Magufuli!Amekopa kwa mabeberu mpaka tukawa kwenye red mark,[emoji419][emoji375]
Makanisa ya kitapeli!makanisa ya mikusanyiko ya wezi, makani ya wahuni, self proclaimed bishops, priests, wahubiri, wachungaji and the like
we unajua hata maana ya legacy? Kuna legacy ndani ya miaka 5? Mtu hakuweza kukamilisha hata mradi wa maana leo legacy. Km hamuelewi mambo bora mkae kimyaIvi Kuna raisi ukimwacha nyelele mwenye legacy kama late Jpm,mtu mwenye legacy Aachi kuzungumziwa
heshima yake ndiyo inaongezeka usimtishie nyau we ngedereMshana Jr unaheshimika sana ila la kumponda Dkt Magufuli unaonekana lijinga sana. Bora kama una chuki binafsi acha ku comment ili ulinde heshima yako.
Afya ya akili ya Sukuma gang imekaa mbaya sanaPropaganda za akina johnthebaptist and Co. Ltd eti ni shujaa. Ushujaa wake unatoka wapi? eti alipigana vita na mabebebru, alipigana vita ipi na alishinda ipi?
Vita gani, Ya Uchumi, kuna bebebru hata mmoja aliondoka akaacha miradi yake? Sana sana we are paying dealy kwa kukurupuka kwake Magufuli!
Amekopa kwa mabeberu mpaka tukawa kwenye red mark, eti leo alipigana na mabeberu!
Janet na Jiwe mbona kama mtu na mdogo wake?
si unajua kukiwa na deep love mnafananaJanet na Jiwe mbona kama mtu na mdogo wake?
Alikuwa anakopa wapi? Nobody knows maana alikuwa anaficha kila kitu.kutokopa madeni China, au world bank na IMF packages,
whatever, this is my thinking!Mkuu una akili sana kuuliza hili swali???
Umeuliza swali la msingi ambalo wasomi kila siku waga tunaulizawhatever, this is my thinking!
Wengi wenu mnaemtetea yule jamaa Hamna Data mnaongelea Emotion. Kwa Nchi hii linapokuja Suala la Maendeleo kuna Maraisi wawili tu Mkapa Na Kikwete hawa jamaa atleast Wameleta maendeleo yanayoonekana kwa Macho na DataLets assume tumekubali alikopa mpaka tukawa kwenye Red mark,
1. Je matokeo ya mikopo ya Red Mark yalionekana au hayakuonekana?
2. Km tulikua kwenye Red Mark, Je tumewezaje kuendelea kukopesheka?
3. Now tunakopa kuliko alivyokopa yeye, Je now tupo kwenye Mark ya rangi gani?
4. Je matokeo ya Mikopo ya sasa ya above Red mark inaonekana?
| Year | GDP Per Capita (US $) | Annual Growth Rate (%) |
|---|---|---|
| 2021 | $1,099 | 5.49% |
| 2020 | $1,042 | -0.94% |
| 2019 | $1,052 | 4.06% |
| 2018 | $1,011 | 3.56% |
| 2017 | $976 | 3.58% |
| 2016 | $942 | 1.47% |
| 2015 | $929 | -8.29% |
| 2014 | $1,013 | 6.02% |
| 2013 | $955 | 11.78% |
| 2012 | $855 | 11.13% |
| 2011 | $769 | 5.22% |
| 2010 | $731 | 7.28% |
| 2009 | $681 | 1.44% |
| 2008 | $672 | 24.57% |
| 2007 | $539 | 13.89% |
| 2006 | $473 | -1.44% |
| 2005 | $480 | 7.32% |
| 2004 | $448 | 6.61% |
| 2003 | $420 | 4.83% |
| 2002 | $400 | 1.44% |
| 2001 | $395 | -1.18% |
| 2000 | $399 | 2.29% |
| 1999 | $390 | 0.90% |
| 1998 | $387 | 55.59% |
| 1997 | $249 | 15.89% |
| 1996 | $215 | 21.32% |
| 1995 | $177 | 12.84% |
| 1994 | $157 | 1.91% |
| 1993 | $154 | -10.35% |
| 1992 | $172 | -9.48% |
| 1991 | $190 | 13.43% |
| 1990 | $167 | -6.16% |
| 1989 | $178 | -15.64% |
| 1988 | $211 | -15.64% |
Leta evidence hap, maana kila mtu huwa anasema kuhusu haya, ukitaka evidence hakuna, pekua kote halafu leta, maana evidence ndiyo inakata Shauri.Alikuwa anakopa wapi? Nobody knows maana alikuwa anaficha kila kitu.
Ongezeko la deni la taifa lazusha mjadala Tanzania
Admin.WagnerD
09.11.20219 Novemba 2021
Wakati serikali ya Tanzania ikianisha jinsi itavyotumia mkopo wa zaidi ya shilingi trilioni 1.3, kutoka Shirika la fedha duniani IMF, kumezuka hoja mpya kuhusu deni la taifa linalodaiwa kuendelea kuongezeka.
2015 inareflect kwa JPM? JPM itaanza reflection 2017, 2018, growth ipo, 2019 growth, Pamoja 2021 despite COVID; unataka kusema nini?Wengi wenu mnaemtetea yule jamaa Hamna Data mnaongelea Emotion. Kwa Nchi hii linapokuja Suala la Maendeleo kuna Maraisi wawili tu Mkapa Na Kikwete hawa jamaa atleast Wameleta maendeleo yanayoonekana kwa Macho na Data
Hizi ni data za Pato la mtu mmoja mmoja kuanzia miaka ya 80 hadi leo,
Year GDP Per Capita (US $) Annual Growth Rate (%) 2021 $1,099 5.49% 2020 $1,042 -0.94% 2019 $1,052 4.06% 2018 $1,011 3.56% 2017 $976 3.58% 2016 $942 1.47% 2015 $929 -8.29% 2014 $1,013 6.02% 2013 $955 11.78% 2012 $855 11.13% 2011 $769 5.22% 2010 $731 7.28% 2009 $681 1.44% 2008 $672 24.57% 2007 $539 13.89% 2006 $473 -1.44% 2005 $480 7.32% 2004 $448 6.61% 2003 $420 4.83% 2002 $400 1.44% 2001 $395 -1.18% 2000 $399 2.29% 1999 $390 0.90% 1998 $387 55.59% 1997 $249 15.89% 1996 $215 21.32% 1995 $177 12.84% 1994 $157 1.91% 1993 $154 -10.35% 1992 $172 -9.48% 1991 $190 13.43% 1990 $167 -6.16% 1989 $178 -15.64% 1988 $211 -15.64%
-Mkapa anaingia Madarakani 1995 pato la mtu mmoja mmoja ni $177 ambazo ni kama laki 4 za sasa na anatoka Madarakani pato ni $480 ambazo ni kama 1, 100,000 za sasa. jamaa kaongeza Uchumi karibia mara 3 ya alivyoukuta,
-Kikwete naye Kaingia Madarakani 2005 kaanzia hapo $480 ilioachwa na Mkapa na Mpaka 2014 mwaka wake wa Mwisho Tukaingia Uchumi wa kati na kufika $1013 na wakati anatoka 2015 mwaka alioshea na Magu Uchumi ukashuka hadi $929, kiujumla Kikwete nae Aliongeza Uchumi wetu kwa asilimia 100.
-Kaja Magu sasa Mnaemsifia, Uchumi wa 2014 wa kikwete mpaka Magu Anafariki umeongezeka toka $1013 mpaka $1042 tu, miaka 6 kama Taifa tulisimama, ingekuwa kwa speed ya Mkapa ama Kikwete sasa hivi Tungekua range ya $1500-2000.
Upuuzi, wakati wa Mwinyi nchi ilifilisika, yaani 1992, kila kitu kilikuwa stagnant Mkapa akainua, growth gap ilikkuwa kubwa na gains zikawa kubwa wakati wa mkapa na JK, kufikia kwa JPM lile gap lilizibwa na growth ikawa normal. Usilete upuuzi hapaWengi wenu mnaemtetea yule jamaa Hamna Data mnaongelea Emotion. Kwa Nchi hii linapokuja Suala la Maendeleo kuna Maraisi wawili tu Mkapa Na Kikwete hawa jamaa atleast Wameleta maendeleo yanayoonekana kwa Macho na Data
Hizi ni data za Pato la mtu mmoja mmoja kuanzia miaka ya 80 hadi leo,
Year GDP Per Capita (US $) Annual Growth Rate (%) 2021 $1,099 5.49% 2020 $1,042 -0.94% 2019 $1,052 4.06% 2018 $1,011 3.56% 2017 $976 3.58% 2016 $942 1.47% 2015 $929 -8.29% 2014 $1,013 6.02% 2013 $955 11.78% 2012 $855 11.13% 2011 $769 5.22% 2010 $731 7.28% 2009 $681 1.44% 2008 $672 24.57% 2007 $539 13.89% 2006 $473 -1.44% 2005 $480 7.32% 2004 $448 6.61% 2003 $420 4.83% 2002 $400 1.44% 2001 $395 -1.18% 2000 $399 2.29% 1999 $390 0.90% 1998 $387 55.59% 1997 $249 15.89% 1996 $215 21.32% 1995 $177 12.84% 1994 $157 1.91% 1993 $154 -10.35% 1992 $172 -9.48% 1991 $190 13.43% 1990 $167 -6.16% 1989 $178 -15.64% 1988 $211 -15.64%
-Mkapa anaingia Madarakani 1995 pato la mtu mmoja mmoja ni $177 ambazo ni kama laki 4 za sasa na anatoka Madarakani pato ni $480 ambazo ni kama 1, 100,000 za sasa. jamaa kaongeza Uchumi karibia mara 3 ya alivyoukuta,
-Kikwete naye Kaingia Madarakani 2005 kaanzia hapo $480 ilioachwa na Mkapa na Mpaka 2014 mwaka wake wa Mwisho Tukaingia Uchumi wa kati na kufika $1013 na wakati anatoka 2015 mwaka alioshea na Magu Uchumi ukashuka hadi $929, kiujumla Kikwete nae Aliongeza Uchumi wetu kwa asilimia 100.
-Kaja Magu sasa Mnaemsifia, Uchumi wa 2014 wa kikwete mpaka Magu Anafariki umeongezeka toka $1013 mpaka $1042 tu, miaka 6 kama Taifa tulisimama, ingekuwa kwa speed ya Mkapa ama Kikwete sasa hivi Tungekua range ya $1500-2000.
Nimemshangaa Sana, a legend like him ana tarnish image yake🤔Mshana Jr unaheshimika sana ila la kumponda Dkt Magufuli unaonekana lijinga sana. Bora kama una chuki binafsi acha ku comment ili ulinde heshima yako.