Eti Magufuli alipigana vita na mabeberu, vita ya uchumi, ni vita gani alishinda dhidi ya Western Impelialism?

Eti Magufuli alipigana vita na mabeberu, vita ya uchumi, ni vita gani alishinda dhidi ya Western Impelialism?

Propaganda za akina johnthebaptist and Co. Ltd eti ni shujaa. Ushujaa wake unatoka wapi? eti alipigana vita na mabebebru, alipigana vita ipi na alishinda ipi?
Vita gani, Ya Uchumi, kuna bebebru hata mmoja aliondoka akaacha miradi yake? Sana sana we are paying dealy kwa kukurupuka kwake Magufuli!

Amekopa kwa mabeberu mpaka tukawa kwenye red mark, eti leo alipigana na mabeberu!
 
Inategemea na uelewa wa mtu anayeuliza swali. Ni akili kubwa pekee, ndiyo inayojua mchango wa JPM kwa ukombozi wa kifikra ya ukoloni mamboleo. Ukiwa na akili ya kawaida, kila siku utakuwa unajiuliza swali hilo hilo.
 
Katika Lile group au kundi ambalo wazungu wanawaita waafrika nyani na wewe ni mmojawapo wa nyani hao,vip mtu uliyetimamu ukashindwa kuona mapambano ya professor magu dhidi ya mabeberu wa colona
 
Propaganda za akina johnthebaptist and Co. Ltd eti ni shujaa. Ushujaa wake unatoka wapi? eti alipigana vita na mabebebru, alipigana vita ipi na alishinda ipi?
Vita gani, Ya Uchumi, kuna bebebru hata mmoja aliondoka akaacha miradi yake? Sana sana we are paying dealy kwa kukurupuka kwake Magufuli!

Amekopa kwa mabeberu mpaka tukawa kwenye red mark, eti leo alipigana na mabeberu!
Sukuma gang wanatia huruma sana wale wajinga wangekua na uchungu wangezikwa nae
 
Nadhani unachuki binafsi hata kama nikikuelewesha huwezi elewa. Mnajifanya kuwa eti mnamsema vibaya Dkt Magufuli kwa mabaya mnasahau hata Dkt Kikwete enzi zake aliruhusu mwandishi wa habri kuuawa mchana kabis na mfano pia Dkt Ulimboka mpaka leo ni chizi chizi baada ya kipigo ila akili zenu eti mnataka kumkomoa mtu ambaye ni mzalendo na alishafariki. Poleni sana kwa kuendelea kumfanya ajenda ya mazuri
😂😂🤗 Sio chuki binafsi,mbona mabaya ya kikwete,mkapa tumeyajadili sana miaka yote . Hata Nyerere amekosolewa sana tu hapa JF ,kwanini Magufuli awe exception kwenye kujadili mapungufu ya utawala wake?
 
Propaganda za akina johnthebaptist and Co. Ltd eti ni shujaa. Ushujaa wake unatoka wapi? eti alipigana vita na mabebebru, alipigana vita ipi na alishinda ipi?
Vita gani, Ya Uchumi, kuna bebebru hata mmoja aliondoka akaacha miradi yake? Sana sana we are paying dealy kwa kukurupuka kwake Magufuli!

Amekopa kwa mabeberu mpaka tukawa kwenye red mark, eti leo alipigana na mabeberu!
Harakati za kumchafua JPM zimepitwa na wakati😂
 
Ni akili kubwa pekee,
hapa unaonesha uwezo mdogo wa kufikiri wa watu kama nyinyi. To enlighten you, use the following faculties when making analysis of issues!

1. Imagination

2. Perception

3. Will

4. Memory

5. Intuition

6. Reason
 
😂😂🤗 Sio chuki binafsi,mbona mabaya ya kikwete,mkapa tumeyajadili sana miaka yote . Hata Nyerere amekosolewa sana tu hapa JF ,kwanini Magufuli awe exception kwenye kujadili mapungufu ya utawala wake?
Big no, Dkt Magufuli imezidi, yaani lengo lenu ni la kishetani. Tunakemea huu ujinga ili usijirudie kwa rais wetu Dkt Samia maana watu ka ninyi ni vigeu geu hamchelewi kigeuka na kumgeuka.
 
Sana sana we are paying dealy kwa kukurupuka kwake Magufuli!Amekopa kwa mabeberu mpaka tukawa kwenye red mark,[emoji419][emoji375]
Alikopa ngapi na huyu mama yenu kakopa ngapi?
 
Lets assume tumekubali alikopa mpaka tukawa kwenye Red mark,
1. Je matokeo ya mikopo ya Red Mark yalionekana au hayakuonekana?
2. Km tulikua kwenye Red Mark, Je tumewezaje kuendelea kukopesheka?
3. Now tunakopa kuliko alivyokopa yeye, Je now tupo kwenye Mark ya rangi gani?
4. Je matokeo ya Mikopo ya sasa ya above Red mark inaonekana?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu umegonga maswali konki sana
 
Propaganda za akina johnthebaptist and Co. Ltd eti ni shujaa. Ushujaa wake unatoka wapi? eti alipigana vita na mabebebru, alipigana vita ipi na alishinda ipi?
Vita gani, Ya Uchumi, kuna bebebru hata mmoja aliondoka akaacha miradi yake? Sana sana we are paying dearly kwa kukurupuka kwake Magufuli!

Amekopa kwa mabeberu mpaka tukawa kwenye red mark, eti leo alipigana na mabeberu!
Hivi kumbe wewe haujui kama Magu alishinda vita ya COVID-19?
 
Big no, Dkt Magufuli imezidi, yaani lengo lenu ni la kishetani. Tunakemea huu ujinga ili usijirudie kwa rais wetu Dkt Samia maana watu ka ninyi ni vigeu geu hamchelewi kigeuka na kumgeuka.
Matendo ya Samia ndiyo yataamua jinsi watanzania watakavyo mkumbuka, usiogope mkuu .
 
Hivi kumbe wewe haujui kama Magu alishinda vita ya COVID-19?

Tanzanian Leader Who Downplayed Pandemic Dies​

President John Magufuli’s complex legacy is overshadowed by his repeated dismissals of the coronavirus.​

MARCH 18, 2021, 4:18 PM
Tanzanian President John Magufuli, who drew international condemnation for dismissing the threat of the coronavirus pandemic and refusing to obtain vaccines for his country, has died at the age of 61, possibly due to complications from the coronavirus.

But he became increasingly authoritarian over time, centralizing the presidency’s powers and cracking down on journalists and political opponents. He died just five months after being reelected for a second term in a vote that independent observers say was marred by allegations of fraud and voter intimidation.

As the coronavirus pandemic swept across the world, Magufuli set himself apart from other African and world leaders by dismissing the severity of the pandemic and refusing to purchase vaccines for his country.
Opposition leaders say that Magufuli died after contracting the coronavirus, though the Tanzanian government says he died of a heart attack after being admitted to a Dar es Salaam hospital on March 6.

The president was last spotted on Feb. 27, and his conspicuous absence fueled rumors about his ill health. Until then, the late Tanzanian president was a vehement COVID-19 denier, even as hospitals were inundated and religious leaders sounded alarm bells about the number of funerals they were presiding over. Still, Magufuli’s government stopped releasing any statistics on COVID-19 in May of last year and then in June declared the country coronavirus-free.

For months, the health ministry failed to implement a response, instead encouraging steaming, traditional remedies, and prayer. When Denmark reported that two of its citizens tested positive for the coronavirus after traveling to Tanzania, Magufuli grudgingly conceded the presence of the virus in his country, but he blamed Tanzanians who traveled abroad for bringing the virus home. He was equally skeptical of COVID-19 vaccines, even as the World Health Organization chastised him.
 
all those countries which developed viongozi wao walikuwa shupavu,
Ushupavu upi? Did they kill fellow citizens?

This is the better description of him
1685015128355.jpeg
 
😂😂🤗 Sio chuki binafsi,mbona mabaya ya kikwete,mkapa tumeyajadili sana miaka yote . Hata Nyerere amekosolewa sana tu hapa JF ,kwanini Magufuli awe exception kwenye kujadili mapungufu ya utawala wake?
Inashangaza sana
 
Back
Top Bottom