crome20
JF-Expert Member
- Feb 5, 2010
- 1,193
- 810
Kwa Muda sasa nimekuwa nikisoma hoja katika mijadala juu ya uvaaji usiofaa kama vile nguo fupi, nguo za kubana, mipasuo kupitiliza kuwa ni chanzo cha wanaume wengi kupungua kwa hamu ya tendo la ndoa kwa maelezo kuwa, yale maumbile ambayo yanasisimua kuwapo kwa tendo la ndoa, tumekuwa tukiyaona kwa urahisi hivyo hamu ya kuyaona haipo tena.
Lakini baada ya kutafakari jambo hili na kupitia majarida mbalimbali, nimegundua kuwa tatizo letu wala siyo hilo, maana waathirika wa kwanza wangekuwa wenzetu wa Ulaya ambao tunachokiona hapa labda ni 1/4 ya kile kinachofanyika kwao. Ukweli ni kwamba watu wengi wana stress ya maisha kutokana na uchumi mbovu, ndoa au mhusiano yasiyo na upendo n.k .
Pia mapenzi ni taaluma, watu wengi hawajui kupenda au kupendwa, hawajui kufaidi hali ya upendo, na wengine walishindwa kuchaguana vizuri matokeo yake wanaona mummke ni kero, na ndio maana mchepuko umekuwa ukijaza hiyo vacuum kiurahisi. Yaani unaenda kazini na mkeo, hamjataniana hata kidogo na kucheka kimahaba,mmenuna njia nzima unategemea nini kama si kusingizia mavazi.
Hebu tufunguke.