Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,056
Lol ya kweli aya:what:
Ndo maana yake. Mtu anajijua ni wa mbio fupi anasingizia nguo za watu, hii haikubalikiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lol ya kweli aya:what:
Hilo ni suala la saikologia tu. Wale wanaopita na kuona kawaida, kuwa wamethibiti akili yao na si kuwa hawana nguvu za kiume. Upooo!kama ukitaka kujua hii ipo nenda kamchukue mlugaluga kutoka bush then mpeleke beach akakutane na bikini dushelele litasimama mpaka likaribie kukatika hapo ndo utajua kua kuzoea kutamama miili ilio uchi kunasababisha kupunguza man POWER
Hilo ni suala la Saikologia tu. Wale wanaopita na kuona kawaida, kuwa wamethibiti akili yao na si kuwa hawana nguvu za kiume. Upooo!
Naamini hizo nguvu zimesharudi maana...
Kwa Muda sasa nimekuwa nikisoma hoja katika mijadala juu ya uvaaji usiofaa kama vile nguo fupi, nguo za kubana, mipasuo kupitiliza kuwa ni chanzo cha wanaume wengi kupungua kwa hamu ya tendo la ndoa kwa maelezo kuwa, yale maumbile ambayo yanasisimua kuwapo kwa tendo la ndoa, tumekuwa tukiyaona kwa urahisi hivyo hamu ya kuyaona haipo tena.
Lakini baada ya kutafakari jambo hili na kupitia majarida mbalimbali, nimegundua kuwa tatizo letu wala siyo hilo, maana waathirika wa kwanza wangekuwa wenzetu wa Ulaya ambao tunachokiona hapa labda ni 1/4 ya kile kinachofanyika kwao. Ukweli ni kwamba watu wengi wana stress ya maisha kutokana na uchumi mbovu, ndoa au mhusiano yasiyo na upendo n.k .
Pia mapenzi ni taaluma, watu wengi hawajui kupenda au kupendwa, hawajui kufaidi hali ya upendo, na wengine walishindwa kuchaguana vizuri matokeo yake wanaona mummke ni kero, na ndio maana mchepuko umekuwa ukijaza hiyo vacuum kiurahisi. Yaani unaenda kazini na mkeo, hamjataniana hata kidogo na kucheka kimahaba,mmenuna njia nzima unategemea nini kama si kusingizia mavazi.
Hebu tufunguke.
Ww acha ngonjera za kujifurahisha. Mbona Almasi ina thamani kuliko hizo dhahabu lkn ipo juu kuliko hizo dhahabu? Mama anapokuwa ananyonyesha mtoto, unaweza kumtamani kisa umeona titi? Wale wakimbiaji na waogeleaji unawaangalia kama unavyowacheki warembo club?Huo ndio ukweli mtupu na ndio maana ngozi ya paja/hips inatofautiana na ngozi ya goti ama mguu ama mkono.kawaida ni kwamba kiungo kinachofunikwa kinakuwa na mvuto kuliko kinachoonyeshwa hovyo hovyo na kupigwa jua na uchafu.sasa wadada siku hizi mijapa na mihips nje nje na matiti yanabinuliwa/kuminywa minywa na kuyaanika nje nje kupigwa na jua na shuruba za kila aina unafikiri mwanaume akiyaona chumbani/sirini atashtuka wakati keshazoea kuyaona barabarani kila siku?vitu vya dhamani siku zote vimefichika kaka ndio maana dhahabu na tanzanite ili uipate shurti uchimbe kina kirefu na sio rahisi kuiokota hovyo hovyo barabarani
Ww acha ngonjera za kujifurahisha. Mbona Almasi ina thamani kuliko hizo dhahabu lkn ipo juu kuliko hizo dhahabu? Mama anapokuwa ananyonyesha mtoto, unaweza kumtamani kisa umeona titi? Wale wakimbiaji na waogeleaji unawaangalia kama unavyowacheki warembo club?
Mbona wenzako nguvu wanazo wanarudia hata mara 10?
wao wanatembea na miwani ya mbao??
Km hufanyi mazoezi umekaa kizembe mtt wa kiume unakula na kunywa hovyo,ulevi wa kupindukia unanepeane hovyo unategemea utaweza kweli kutimiza hilo jukumu ipasavyo,no way.
Mazoezi muhimu sana yanakuweka fit mentally and physically,kula balanced diet with lots of fruits,jitahidi pia kutumia asali,kula vyakula ambavyo ni natural lzm uwe fit mazee
Umeshasema mama ananyonyesha mtoto maana yake tayari umeshaset mind yako hivyo. kuhusu waogeleaji na wakimbiaji ni ujinga tumeaminishwa na wazungu kwamba ni lazima wavae hivyo.
Teh teh wanaume leo kuchambwa balaa yaani hadi nawaonea huruma lol wanaume wa chips mayai oyeeeeeeee[emoji125] [emoji125] [emoji125]Dume zima linakula chips mayai na fanta orange!
Bado lintumia kilevi,lipo mpaka instagram.
Unategemea nini, anakosa hadi nguvu ya kusimama akikaa sembuse ku do.