Eti Mavazi ya wanawake yanachangia kupungua kwa nguvu za kiume?

Dume zima linakula chips mayai na fanta orange!
Bado lintumia kilevi,lipo mpaka instagram.
Unategemea nini, anakosa hadi nguvu ya kusimama akikaa sembuse ku do.
 
Yaani Hata isha hawaandiki kama ulivyofanya.....
 
crome20

Zamani waafrika walikuwa hawavai nguo kabisa wanajifunika nyeti tu na kipande cha gome la mti upepo ukipiga mambo yote hadharani sasa hao si ndio nguvu za kiume sizingekuwa hata hawajui ni nini???
 
Last edited by a moderator:
Zamani waafrika walikuwa hawavai nguo kabisa wanajifunika nyeti tu na kipande cha gome la mti upepo ukipiga mambo yote hadharani sasa hao si ndio nguvu za kiume sizingekuwa hata hawajui ni nini???

Kuna imani za ajabu sana.....
 
kama ukitaka kujua hii ipo nenda kamchukue mlugaluga kutoka bush then mpeleke beach akakutane na bikini dushelele litasimama mpaka likaribie kukatika hapo ndo utajua kua kuzoea kutamama miili ilio uchi kunasababisha kupunguza man POWER
 

Naamini hizo nguvu zimesharudi maana...
 
Naandika huku kamwili kananisisimka jamani...Mwanaume rijali uliyekamilika huwezi kutamka hadharani et nguo za wadada zinatupunguzia nguvu za kiume!!
Mbona wanaume wenzako wanazo?
Wewe kama nguvu huna huna tu kwa matatizo yako binafsi!!
Mtukome!!

Waambie kbsaaa hao mabashaa.. dume zimaa lanywa juice ya mua na urojooo
 
Mguu wako hauruhusu? pole

Imeruhusuu haijaruhusuu wewe angalia kupendeza kwako tu... ukijijua nimependezaa hata kama miguu ni kama ya flamingo kama yangu haijalishiii muhimu ni kupendezaa tuuu ndio hbr ya mujini. Huyo anayeishiwa nguvu shauri hiyoo inamuhusu yeyee na ushoga wakee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…