Eti Mayor wa New york atamkamata waziri mkuu wa Israel Benjamini Netanyahu!!

Eti Mayor wa New york atamkamata waziri mkuu wa Israel Benjamini Netanyahu!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Mayor wa New York aliamua kuwadanganya waislamu wenzake kuwa eti endapo Mwamba Benjamin Netanyahu atatembelea New York atamkamata kitu ambacho ni uongo wa mchana kweupe!!wajinga tu wa kiislamu ndiyo wanaweza kuamini mtu kama mayor wa New York anaweza kumkamata Mwamba!!!

 
Mbona ana kesi ya ufisadi huko Israel na huwa anapelekwa mahakamani kama kawaida na hakuna kitu jaji amefanywa mpaka leo?

Mhalifu ni mhalifu tu, na jinai haiozi.
Mamdani Hana mamlaka ya kumkamata kiongozi wa kitafaifa

Ka change Gia angani anataka Wana new York waandamane
 
Kama mwamba tumuone kaenda Ulaya!! Sasaivi anatembea kama Kimya kimya tofauti na zamani mwamba atakuwa uyo muoga muoga🤠🤠
 
Sasa mtumishi Echolima1 maswala ya kobaz yameingiaje humo? Ulishindwaje kutoa taarifa zako bila kuwahusisha kobaz
 
Mbona ana kesi ya ufisadi huko Israel na huwa anapelekwa mahakamani kama kawaida na hakuna kitu jaji amefanywa mpaka leo?

Mhalifu ni mhalifu tu, na jinai haiozi.
Majuzi kati alikuwa bungeni aiseee Jamaa wanamzomea vibaya sana kama mwizi unaambiwa

Ila jamaa ana guts sijapata kuona ningekuwa Mimi ningetoka hata bungeni kwenyewe
 
Upo sahihi ila tatizo ni kuwa na double standard

Ayatolla Khamenei yeye naye si alikuwa mhalifu kwa kuua waandamanji?
Sawa unaweza nisaidia khamenei alifunguliwa wapi mashtaka hayo? Maana kama hakuna mashtaka anakamatwa vipi?

Ila Netanyahu ana kesi Israel ya ufisadi alifunguliwa Israel na huko ICC ana arrest warrant rasmi kabisa. Na sio yeye tu, viongozi wote wa Hamas walitolewa arrest warrant pia.

Kuhusu iran, Nachojua yale hayakua maandamano yalikua mapinduzi yaliyoandaliwa na CIA-Mossad na Trump mwenyewe alikiri walishatuma silaha kwa "waandamanaji" ili wapindue nchi ila mpango ukafeli. Kwahiyo nikuamini wewe au Trump?
 
Sisi hapa hatuzungumzii mambo ya ndani ya Israel hapa topic ni huyo kobaz wa Newyork
Mbona alisema kuwa kisheria hawezi mkamata sababu anatakiwa kukamatwa na askari wa kitaifa sio wa jimboni kwake.

Kingine ukobazi unaingiaje hapa? Au hujui hayo mashtaka ya ICC yalifunguliwa na Afrika kusini nchi ya wakristo?

Chaguzi tu za New York ambalo ndio jiji linaongoza kwa wayahudi marekani wagombea watano ambao walikua endorsed na mamdani walishinda na waliangusha wabunge waliokua pro-israel. Kwahiyo unayemuita kobazi anawanyoosha wayahudi huko New York.
 
Mayor wa New York aliwadanganya Kobaz maana alijua ni Mafala sana watamuamini tu!!!
Acha fake news we mshamba, alisemaga kitambo tu kama angekua ana mamlaka angemkamata ila sababu hana mamlaka hawezi mkamata sasa unachopotosha hapa ni nini? Hujitambui wewe
 
Acha fake news we mshamba, alisemaga kitambo tu kama angekua ana mamlaka angemkamata ila sababu hana mamlaka hawezi mkamata sasa unachopotosha hapa ni nini? Hujitambui wewe
eti alisemaga kitambo!!* Ujinga mtupu mnaamini toka lini Mayor wa jiji akawa na mamlaka ya kumkamata kiongozi wa nchi? Endeleeni tu kupumbazika!!
 
eti alisemaga kitambo!!* Ujinga mtupu mnaamini toka lini Mayor wa jiji akawa na mamlaka ya kumkamata kiongozi wa nchi? Endeleeni tu kupumbazika!!
Nani aliamini? Unapenda kauli za jumla jumla tokea ijumaa aliulizwa kwenye press conference na akasema hana mamlaka sababu viongozi wanaokuja UN wana diplomatic immunity!!

Cha ajabu wewe unaleta fake news
 
Mkuu ulisikiliza hotuba yake ya Kwanza?
Ndio alieleza desire yake tokea campaign za uchaguzi ila alieleza nia yake ya kuongea na mawakili wake kuona kama kuna"uwezekano" wa kumkamata.

Yeye anatamani kumkamata ila sheria inambana ndio maana alishauri serikali kuu imkamate
 
Mayor wa New York aliamua kuwadanganya waislamu wenzake kuwa eti endapo Mwamba Benjamin Netanyahu atatembelea New York atamkamata kitu ambacho ni uongo wa mchana kweupe!!wajinga tu wa kiislamu ndiyo wanaweza kuamini mtu kama mayor wa New York anaweza kumkamata Mwamba!!!

View attachment 3638169

Huyu mswahili wa Afrika ya Mashariki meya Zohran Kwame Mamdani ameathiriwa na sayansi za siasa za vyuo vikuu vya Uganda, Tanzania na Afrika ya Kusini kiasi anafikiri ndoto zake za kimapinduzi anaweza kuzifanikisha New York City

TOKA MAKTABA :

Profesa Mahmood Mamdani mwana wa Dar es Salaam mwenye mguso pia Uganda, South Africa na Marekani alipozindua kitabu chake nyumbani aliye baba mzazi wa mayor wa New York City Bw. Zohran Kwame Mamdani

30 March 2026
Dar es Salaam, Tanzania

Mahmood Mamdani's "Slow Poison" Book Launch in Dar es salaam, Tanzania


View: https://m.youtube.com/watch?v=KW-jC_OVRwk
This is a recap of the Dar es Salaam Tanzania LAUNCH of Slow Poison: Idi Amin, Yoweri Museveni and the Making of the Ugandan State by Professor MAHMOOD MAMDANI.


Feature a conversation with the author moderated by JENERALI ULIMWENGU, followed by Q & A :
Both leaders, Mamdani says, were propped by Western powers and turned out to be slow poison to Uganda – with Museveni becoming worse.

On page 233 of the book, Mamdani cites three examples of Amin and Museveni’s “slow poison.”

Mamdani - “And when he brings the body back, he gives a speech at the funeral where he says, ‘We bury here not just the Kabaka, we also bury the kingdoms. Uganda will not will not have kingdoms. Uganda will be a republic.”

Mamdani also credited Amin with introducing radical land reforms inspired by developments in Ethiopia.

“The Ethiopian Revolution had taken place around this time, and he tells the cabinet, ‘We have to learn something from the Ethiopian Revolution. One thing we have to learn is land reform. We have to give the land to the tiller,” Mamdani said.

“Buganda, especially, was that part of the country with miles of land given by the British to the Buganda aristocracy who became landlords. Amin conferred the land to the tenants.”

Mamdani further described Amin’s commission of inquiry into the killing of civilians by soldiers as one of the earliest truth commissions in modern history.

"When Amin came to power, he passed a decree which gave soldiers the right to arrest anybody without a search warrant purely on suspicion,” he said.

“The result was that soldiers indeed began to arrest, but arrest for private greed. The police then came to Amin and said civic peace is disintegrating and there is no way of ensuring the country will remain peaceful.”

According to Mamdani, Idi Amin responded by appointing a commission of inquiry headed by a Pakistani judge who had tried Abu Mayanja under the Obote government.


Source : Mkuki na Nyota
 
Back
Top Bottom