Eti mdomo wangu unanuka kama bomba la choo

Kakukosea sana maana lugha iliyotumika kukufikishia ujumbe siyo nzuri japo kukupa taarifa ni jambo jema. Alipaswa kusema mdomo badala ya domo. lakini pia hata kama harufu ya mdomo wako ni mbaya hakupaswa kuifananisha na choo. kukupa taarifa is a right thing ili ujirekebishe au umuone dakitari but lugha yake inaonekana uliko muokota kunafanana na lugha aliyoitumia!
 

nachukia sana mijitu inayonuka mdomo ni kero
pokea tusi lifuatalo kwa kunuka mdomo
 
Jamaa ni mtaalamu wa lugha fasihi!
 

Mkuu lazima nimpige talaka 21.
 

Jinyonge ndio utakuwa umetatua tatizo.
 
..tena nakwambia wa hivi wanapata comments nyingi ajabu, wakati wanaandika vitu visivyo na kichwa wala miguu, aibu sana!!!
 
hahahaha usijinyonge bwanaaaaa tumia basi Listerine itakusaidia na pia jaribu kwenda kwa dentist akusadie zaidi kujua shida ni nini...pole sana aisee hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Raha mpaka wapi wakati wenzako tunalia heee! heee! nitajinyonga baadae!
 
Ptuuuu...ndo maana nasikia harufu mbaya,unatema mkuu
 
..tena nakwambia wa hivi wanapata comments nyingi ajabu, wakati wanaandika vitu visivyo na kichwa wala miguu, aibu sana!!!

Kama wewe huna kichwa wala miguu hiyo aibu utaionaje?? au kwa TOCHI KUBWA YA NYUMA?? ha! ha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…