Albosignathus
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,886
- 1,038
- Thread starter
-
- #81
aaaargh kila mtu katumiwa msg ya kutukanwa na demu,kama unakosa kitu cha kupost bora utulie tu kuliko kupost vitu ambazo hazina mbele wala nyuma
Ni pm nikupe ushauri mwana. Jambo dogo sana hili
jinyongeee
Puliza pafyumu au airfresh mdomoni utakuwa umetatua tatizo.Wana mmu.Nimepokea message kutoka kwa mpenzi wangu eti "mdomo wangu unanuka kama bomba la choo cha Feri ila eti hawezi kuniacha kwasababu anapenda jembe langu.Hapa nilipo nalia machozi,nimeshindwa kufanyakazi natamani nijinyonge! Nijinyonge au Niache kwa maana hilo tusi ni zito mno?? haaaa! heeee! hadi jembe langu limenuna!
Wana mmu.Nimepokea message kutoka kwa mpenzi wangu eti "mdomo wangu unanuka kama bomba la choo cha Feri ila eti hawezi kuniacha kwasababu anapenda jembe langu.Hapa nilipo nalia machozi,nimeshindwa kufanyakazi natamani nijinyonge! Nijinyonge au Niache kwa maana hilo tusi ni zito mno?? haaaa! heeee! hadi jembe langu limenuna!
ukimaliza kulia unishtue
hahahahahahah jamani humu kuna watu wananipa rahaaaaaaaaa
Hivi huyu jamaa alipoteleaga wapi?