Eti mdomo wangu unanuka kama bomba la choo

Eti mdomo wangu unanuka kama bomba la choo

Wana mmu.Nimepokea message kutoka kwa mpenzi wangu eti "mdomo wangu unanuka kama bomba la choo cha Feri ila eti hawezi kuniacha kwasababu anapenda jembe langu.Hapa nilipo nalia machozi,nimeshindwa kufanyakazi natamani nijinyonge! Nijinyonge au Niache kwa maana hilo tusi ni zito mno?? haaaa! heeee! hadi jembe langu limenuna!
Puliza pafyumu au airfresh mdomoni utakuwa umetatua tatizo.
 
Wana mmu.Nimepokea message kutoka kwa mpenzi wangu eti "mdomo wangu unanuka kama bomba la choo cha Feri ila eti hawezi kuniacha kwasababu anapenda jembe langu.Hapa nilipo nalia machozi,nimeshindwa kufanyakazi natamani nijinyonge! Nijinyonge au Niache kwa maana hilo tusi ni zito mno?? haaaa! heeee! hadi jembe langu limenuna!

Anza kuvuta hata sigara inasaidia ili asisikie harufu ya ferri bali ya karakana.
 
Pole yako
 
Attachments

  • 1400341798059.jpg
    1400341798059.jpg
    25.1 KB · Views: 182
pole mtu anayekupenda hukusaidia kupata tba ya tatizo ulilonalo sio kukwambia maneno mabaya yakuumiza ba kutoa kasoro.mimi mtoto wangu amekuja na shida hiyo pia ila nimemtibu ba kumpa matunda asikose vitamin hata moja.tafuta tiba ya kinywa kwanza.
 
Umerudi tena na vitopic vya uongo. Hujazaliwa tena.
 
Mdomo wako unamatatizo muone daktari. Huenda meno yako mabovu. Nenda kwa daktari ufanye checkup ya kinywa na meno.
 
Back
Top Bottom