Wana mmu.Nimepokea message kutoka kwa mpenzi wangu eti "mdomo wangu unanuka kama bomba la choo cha Feri ila eti hawezi kuniacha kwasababu anapenda jembe langu.Hapa nilipo nalia machozi,nimeshindwa kufanyakazi natamani nijinyonge! Nijinyonge au Niache kwa maana hilo tusi ni zito mno?? haaaa! heeee! hadi jembe langu limenuna!
pata raha zaidi humu...from the same author and producer..
[h=3]Natafuta mke-mrejesho[/h] [h=3]Nahitaji maombi yenu wanaJF[/h] [h=3]Nahitaji mkanda wa wanawake waliozaa.[/h] [h=3]Gout inanifanya nishindwe kugegeda,sitaki hospital[/h] [h=3]Nanunua maden[/h] [h=3]Niko Honey Moon ila kichwa kinagonga sana.[/h] [h=3]Nimemaliza Honeymoon safi![/h] [h=3]Ndoa ina mwezi,leo hii imevunjika[/h] [h=3]Nimepiga mbili kwenye ndoto leo[/h] [h=3]Nimeota niko mbinguni[/h]
..tena nakwambia wa hivi wanapata comments nyingi ajabu, wakati wanaandika vitu visivyo na kichwa wala miguu, aibu sana!!!
Watajeeeeee
Hili lijamaa lisanii sana...afu muongo cjui alifia apii dizain ya kina gogle[/QUOTLini nimekukopa mpaka uniite msanii? Lini nimekudanganya? Karibu nitakupa na utanisifia kwa kukupa vizuri.
Umerudi
Ukome!!!!!
Nimerudi wapi mpenzi?
LHili lijamaa lisanii sana...afu muongo cjui alifia apii dizain ya kina gogle[/QUOTLini nimekukopa mpaka uniite msanii? Lini nimekudanganya? Karibu nitakupa na utanisifia kwa kukupa vizuri.
Look at u!!!ushaanza tena hahahaaa
Ahahaha harufu ya workshopAnza kuvuta hata sigara inasaidia ili asisikie harufu ya ferri bali ya karakana.