Eti mdomo wangu unanuka kama bomba la choo

Eti mdomo wangu unanuka kama bomba la choo

Wana mmu.Nimepokea message kutoka kwa mpenzi wangu eti "mdomo wangu unanuka kama bomba la choo cha Feri ila eti hawezi kuniacha kwasababu anapenda jembe langu.Hapa nilipo nalia machozi,nimeshindwa kufanyakazi natamani nijinyonge! Nijinyonge au Niache kwa maana hilo tusi ni zito mno?? haaaa! heeee! hadi jembe langu limenuna!

Punguza kwenda chumvini..........
 
Pigs mswaki asubuhi na kabla ya kulala jitahidi kupiga mswaki kila baada ya kumaliza kula ..Kama unahisi Una mabaki kwenye meno toa kwa kutumia stick na Mara moja moja chukua Uzi upitishe katikati ya meno itakusaidia kuondoa uchafu katikati ya meno ...kwa kuanzia nena hospital kamuone dk wa meno..
 
Hili lijamaa lisanii sana...afu muongo cjui alifia apii dizain ya kina gogle
 
L
Hili lijamaa lisanii sana...afu muongo cjui alifia apii dizain ya kina gogle[/QUOTLini nimekukopa mpaka uniite msanii? Lini nimekudanganya? Karibu nitakupa na utanisifia kwa kukupa vizuri.
 
Back
Top Bottom