Eti Mhadhiri anatoka Dar anakuja kufundisha Dodoma ina maana kuna uhaba sana wa vijana kuziba hizo nafasi?

Una hoja za msingi ila uandishi wako sasa.

Shida ni kwamba walimu wa vyuo vikuu wamepewa mamlaka makubwa sana hvyo wanaamua kutumia vibaya vyeo vyao.
Tumeshindwa kutenganisha SIASA,SHERIA NA KAZI. unakuta hao wahadhiri ni wanachama wa chama cha siasa na wanachagulia na hao hao wanasiasa kwenye hivyo vyuo. Chukulia mfano sasa hivi wewe ni mhadhiri alaf upo chama dola , nani wakukusumbua ?
 
''kweli umewajibu vizuri '' kama ni sindano basi dawa imewaingia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…