Binafsi nilitishiwa eti nitafeli olevo kisa mwandiko. Nikashangaa Yale Yale ya arts nikachomoka na Ma B ya kufanya MTU huku sayansi ndo kulichafuka AA mpaka nikashindwa kuzihesabu.
MIE nawachora wakosoaji Wa uandishi kama umesoma arts sio wote ama wewe ni journalist sio lazima niwe kama wewe. Ama are you editor director of a magazine?
Jikite kwenye lengo naweza nisiandike njia ambayo ni formal itakayokubalika kimataifa. Fanya MIE ni MTT najifunza kutembea.
Naoomba uchangie maada kwa kuangalia logic ama mantiki na sio uandishi wangu