Na mimi naomba kuuliza hapohapo katika swala la utrasound. Je ni kweli inapunguza umri wa kuishi wa mama akipimwa mara kwa mara kipimo hiko?au story tu?
Haina madhara yoyote yale,hamna kitabu hata kimoja duniani(literature) ime prove kuwa ina madhara,ni maneno tu ya kienyeji ya mtaani so far naomba nikupe tu taarifa kuanzia leo ultrasound kama jina lilivyo inatumia mawimbi ya sauti(sound waves of very high fregquencies 3-10 MGH),hivo basi hamna risk ya mionzi(X_rays radiations) kama watu wengi wanavyodhania!!Na mimi naomba kuuliza hapohapo katika swala la utrasound.....je ni kweli inapunguza umri wa kuishi wa mama akipimwa mara kwa mara kipimo hiko?au story tu?
Ultra sound ina mionzi mikali hivyo ina damage cells!!!! ni sawa na Xray tu mkubwa. Avoid sana kupiga picha za mionzi mikali hakika si njema sana. Kwa hiyo wanashauri hata wakati wa mimba unafanya ultrasound mara mbili tu pale inapohitajika hasa wakati wa kuanza clinic na kipindi cha mwisho kuangalia amniotic fluid, etc.
Wakuu heshima kwenu...
Juzi nilipata malalamiko kutoka kwa binamu yangu, eti alikuwa anawasiwasi na ujauzito wake kua labda ni mapacha kwani tumbo lake ni kubwa mno, hivyo akaenda ktk hospitali moja ya serikali mjini Dar es salaam, baada ya vipimo ikaoneka sio mapacha ila alivyotaka kujua jinsia madaktari wakapima tena wakamjibu wameshindwa kuona jinsia kutokana na kwamba mimba ni ya miezi 8, na mtoto amekuwa mkubwa hivyo wameshindwa kuona jinsia, Je wanabodi ni kweli mimba ya miezi 8 hakuna uwezekano wa kujua jinsia ya mtoto kwa kutumia kipimo cha ultrasound.?
Ultra sound ina mionzi mikali hivyo ina damage cells!!!! ni sawa na Xray tu mkubwa. Avoid sana kupiga picha za mionzi mikali hakika si njema sana. Kwa hiyo wanashauri hata wakati wa mimba unafanya ultrasound mara mbili tu pale inapohitajika hasa wakati wa kuanza clinic na kipindi cha mwisho kuangalia amniotic fluid, etc.
Nashukuru sana mkuu kwa ufafanuzi wako, by the way ni kwamba halikuwa lengo lake kutaka kujua jinsia ila alipatwa na dukuduku alivyosikia kuwa inawezekanaka kujua jinsia ya kiumbe alichobeba,Jibu unaweza kuona,lakini1. sex sio au haina impact yoyote kwenye obstretics diagnosis(clinical indication) haisaidii kitu chochote kile katika MEDICAL supervision au management ya mama mjamzito
2.Pili inategemea presentation ya mtoto(lie) kwa sababu sonographer anategemea kugundua kwa kuona mf mtoto akiwa kalalia tumbo inakua ngumu kuona
3.Wengi wapimaji(sonographers/radiologists) wanahofia kuwa embarassed ikitokea mtoto ambaye hajakutajia pia wanahofia ku affect psychologia ya mjamzito iwapo mfano mjamzito akitajiwa mtoto ambae sio chagua lake_pendeleo lake sometimes wengine wanafikia hatua hadi ya ku abort(abortion in Tanzania is illegal)
4.Its unethic ingawa wengi wanafanya they are commercial oriented
5.Nakupa siri wengi wao wakikuambia ukitaka kuamini niliyokuambia hapo no 1-4 hawataandika popote pale katika report yako(no documentation)
Haina madhara yoyote yale,hamna kitabu hata kimoja duniani(literature) ime prove kuwa ina madhara,ni maneno tu ya kienyeji ya mtaani so far naomba nikupe tu taarifa kuanzia leo ultrasound kama jina lilivyo inatumia mawimbi ya sauti(sound waves of very high fregquencies 3-10 MGH),hivo basi hamna risk ya mionzi(X_rays radiations) kama watu wengi wanavyodhania!!
Jibu unaweza kuona,lakini1. sex sio au haina impact yoyote kwenye obstretics diagnosis(clinical indication) haisaidii kitu chochote kile katika MEDICAL supervision au management ya mama mjamzito
2.Pili inategemea presentation ya mtoto(lie) kwa sababu sonographer anategemea kugundua kwa kuona mf mtoto akiwa kalalia tumbo inakua ngumu kuona
3.Wengi wapimaji(sonographers/radiologists) wanahofia kuwa embarassed ikitokea mtoto ambaye hajakutajia pia wanahofia ku affect psychologia ya mjamzito iwapo mfano mjamzito akitajiwa mtoto ambae sio chagua lake_pendeleo lake sometimes wengine wanafikia hatua hadi ya ku abort(abortion in Tanzania is illegal)
4.Its unethic ingawa wengi wanafanya they are commercial oriented
5.Nakupa siri wengi wao wakikuambia ukitaka kuamini niliyokuambia hapo no 1-4 hawataandika popote pale katika report yako(no documentation)
Kwa taarifa tu hospital za serikali si rahisi kabisa kukupa majibu ya jinsia ya mtoto na kama atakupa hatakuandikia popote. Ukitaka nenda private. Ila pia wakati mwingine mtoto akiwa amelalia ubabu au tumba na kubana miguu si rahisi kuona jinsia kirahisi. Inaonekana pale mtoto akiwa amelala position anayoweza kupanua miguu. Jinsia ya mtoto hata bya 5 months unaweza kuona!!! Sembuse 8 months ambapo anakaribia full term!!!! Tena at 8 months akiwa boy vikengele vyote nje nje turned!!! Ha ha ha!!!! Kwa nini mnataka kufahamu jinsia ya mtoto wako!!! Make it surprise!!!
Daktari alikuwa sahihi.
Jinsi ya mtoto huonekana vizuri mtoto akiwa na wiki 18-22. Baada ya hapo kutokana na mtoto kuwa mkubwa inakuwa vigumu kuona penis au vagina maana nakuwa imejificha katikati ya mapaja.
Hata hivyo haimaanishi kuwa haiweyekani, ila muda mzuri ni wiki hizo nilizotaja.
Vilevile, kuonekana kwa jinsia kunategemea na quality ya machine ya ultrasund anayotumia.
Hii sio kweli.
Ultrasound haina madhara yoyote kwa mama wala kwa mtoto aliye tumboni.
Hakuna ushauri wa kufanya ultrasound mara mbili tu uliotolewa na timu yoyote ya wataalam.
Ninashauri watu wasiwe wanatoa ushauri kwenye jukwaa hili kama hawana uhakika na kile wanachoongea, ili kuepusha kuwachanganya walioomba ushauri.
Cc Invisible
Nenda google, hakuna kitu kinamulika binadamu hadi kuchambua mwili bila madhara!!!! Unafikiri ni kwa nini hata madaktari wanashauri kuwe na minimum ultrasound? Wao hawana akili????? Wewe ni Dr. of course but hatuwezi kuwaambia watu persee kuwa eti ultrasound haina madhara kama utafanya kila wakati. Kumbuka sijasema kuwa inamdhuru mtoto na mama, nilichosema ina maximum occurance!!! Ha ha ha!!! cc!!! invisible!! So hat??? Abstract
Despite widespread application of ultrasound imaging and Doppler blood flow studies, the effects of their frequent and repeated use in pregnancy have not been evaluated in controlled trials. From 2834 women with single pregnancies at 16-20 weeks gestation, 1415 were selected at random to receive ultrasound imaging and continuous-wave Doppler flow studies at 18, 24, 28, 34, and 38 weeks gestation (the intensive group) and 1419 to receive single ultrasound imaging at 18 weeks (the regular group). Outcome data was obtained from 99% of women who entered the study. The only difference between the two groups was significantly higher intrauterine growth restriction in the intensive group, when expressed both as birthweight < 10th centile (relative risk 1.35; 95% confidence interval 1.09 to 1.67; p = 0.006) and birthweight < 3rd centile (relative risk 1.65; 95% confidence intervals 1.09 to 2.49; p = 0.020). While it is possible that this finding was a chance effect, it is also plausible that frequent exposure to ultrasound may have influenced fetal growth. Repeated prenatal ultrasound imaging and Doppler flow examinations should be restricted to those women to whom the information is likely to be of clinical benefit.