Wakuu heshima kwenu,
Juzi nilipata malalamiko kutoka kwa binamu yangu, eti alikuwa anawasiwasi na ujauzito wake kua labda ni mapacha kwani tumbo lake ni kubwa mno, hivyo akaenda ktk hospitali moja ya serikali mjini Dar es Salaam, baada ya vipimo ikaoneka sio mapacha ila alivyotaka kujua jinsia madaktari wakapima tena wakamjibu wameshindwa kuona jinsia kutokana na kwamba mimba ni ya miezi 8, na mtoto amekuwa mkubwa hivyo wameshindwa kuona jinsia,
Je, wanabodi ni kweli mimba ya miezi 8 hakuna uwezekano wa kujua jinsia ya mtoto kwa kutumia kipimo cha ultrasound.?