Eti mpaka leo tarehe 37 serikali haijalipa mishahara taasisi zake nyingi mfano. vyuo vikuu!

Ndo maana juzi nimeona gari la halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni likipita kutangazia watu ambao bdo hawajalipia leseni zao za biashara wafanye hivyo mapema kabla ya msako mkali utakaopita hv karibuni;kumbe wanatafuta pesa za kulipa watu mishahara????my left foot!
 
Sijui kama unajua MATOKEO YA KUTOKAGULIWA ukiwa field? Ni mabaya zaidi kuliko vidonda vya tumbo vya kupiga deshi kwa miezi 2. Ok., sema nyinyi mnaweza kuelewa., je hawa masupervisor wa huku kazini nao wataelewa.. Bila kusainiwa report sijui huko chuo utamkabidhi nani hayo makaratasi..?
 

Aaagh.., jikazeni bhana.., nyie vipi..?!
 
Wanasheria naomba kujua sheria inasemaje kwa mwekezaji wa nje kwenye sekta ya elimu ya juu (vyuo vikuu) kuhusu idadi ya waalimu wakigeni wanaohitajika ktk chuo husika?

natanguliza shukrani wakuu
 
hapo kwenye red nimejikuta nacheka
 
Ni tarehe 38/7/2014 leo watumishi wa mashirika ya Umma hawajalipwa mshahara wa mwezi July!! Hali hii imepelekea watumishi kuishi katika hali taabani. Hili ni tatizo kubwa kwa serikali ya CCM kwani inaonyesha ni kwa jinsi gani imefilisika rasmi. Wapinzani hii nchi ni yenu kwani CCM wameonyesha kushindwa katika kila sekta.
 
Kikwete janga la taifa

Teh teh teh akirudi marekani sijui atapanda ndege ya nchi gani tena maana hii nchi ishamchosha baba wa watu mwee miaka ikimbie tu akampumzike zake msoga .
 

Hii tarehe imekaa kibavicha bavicha!
 
ha ha ha mpaka mtapojenga hoja za kuwarudisha ukawa bungenii ndo tutarekebisha mamboo
 


Sio kweli ,mbona toka tarehe 24 watu tumechukua vyetu
 
Sio kweli ,mbona toka tarehe 24 watu tumechukua vyetu

yeye anakwambia leo tarehe 38.07.2014. hata mimi ningekuwa ni mwajiri simlipi kilaza kama huyu, hajui hata tarehe! yeye ni kuwaza mshahara tu badala ya kufanya kazi!
 
Mke wangu ametumiwa bank statement yake na mshahara wake wsa Julai na ongezeko lake umeingia tokea 24 Julai. Hii at least ni 100% uongo
 
Wakuu naomba kujua mambo ya msingi yakuzingatia kwa mujibu wa JMT na TCU ili uweze kuanzisha chuo kikuu

naomba mnielekeze km prospectus, curriculum, &student by law vinaweza kuwa ni lazima uwe navyo kabla yakuanzisha chuo kikuu?

NOTE: Mkinipa vivid example na reference nitafurahi wakuu wangu.

Natanguliza shukrani za dhati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…