Eti mpaka leo tarehe 37 serikali haijalipa mishahara taasisi zake nyingi mfano. vyuo vikuu!

Wakuu naomba kujua mambo ya msingi yakuzingatia kwa mujibu wa JMT na TCU ili uweze kuanzisha chuo kikuu

naomba mnielekeze km prospectus, curriculum, &student by law vinaweza kuwa ni lazima uwe navyo kabla yakuanzisha chuo kikuu?

NOTE: Mkinipa vivid example na reference nitafurahi wakuu wangu.

Natanguliza shukrani za dhati.
 
tarehe 37 duuuuuh hii kali kuliko..ila msijali hadi kufika tarehe 40 mshahara utakua umeshalipwa
 
Nlikuwa kipanga kuliko wewe
Umenikumbusha stori za wazee... kila mzee anahadithia watoto wake kuwa alikuwa anakuwa wa kwanza darasani, sijui madarasa yao hakukuwa na wamwisho?
 
Na bado, natamani hata mlipwe mshahara tarehe hamsini. Maprofessor na madokta wa vyuo vikuu wa siku hizi ni mzigo tu kwa jamii. Mkishalipwe mapesa na serikali basi mnaisaliti jamii iliyowasomesha, mnabaki kuisifia tu serikali na kujipendekeza ili mpate vyeo. Yaani ile value ya wana UDASA imepotea kabisa. Ndiyo maana hata serikali inaamua kuwafanyizia tu, maana hamna impact kwake. Ingekuwa ni UDASA ya akina Chachage na akina Haroub hapa najua pangechimbika. Lakini UDASA ya siku hizi ni label tu. Tangu Kikwete aanze kuteua mawaziri kutoka katikati ya wahadhiri, basi kila mmoja ni kujipendekeza tu, akidhani labda na yeye atateuliwa. Yaani nyie mcheleweshwe tu mshahara ikiwezekana mlipwe mwezi ujao, wasaliti wakubwa nyie.
Tumekusikia, tumekuelewa.
 
Back
Top Bottom