Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Kwa comment yako..inaelekea ulikula sup za kutosha chuo
Nlikuwa kipanga kuliko wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa comment yako..inaelekea ulikula sup za kutosha chuo
Hii tarehe imekaa kibavicha bavicha!
Umenikumbusha stori za wazee... kila mzee anahadithia watoto wake kuwa alikuwa anakuwa wa kwanza darasani, sijui madarasa yao hakukuwa na wamwisho?Nlikuwa kipanga kuliko wewe
Tumekusikia, tumekuelewa.Na bado, natamani hata mlipwe mshahara tarehe hamsini. Maprofessor na madokta wa vyuo vikuu wa siku hizi ni mzigo tu kwa jamii. Mkishalipwe mapesa na serikali basi mnaisaliti jamii iliyowasomesha, mnabaki kuisifia tu serikali na kujipendekeza ili mpate vyeo. Yaani ile value ya wana UDASA imepotea kabisa. Ndiyo maana hata serikali inaamua kuwafanyizia tu, maana hamna impact kwake. Ingekuwa ni UDASA ya akina Chachage na akina Haroub hapa najua pangechimbika. Lakini UDASA ya siku hizi ni label tu. Tangu Kikwete aanze kuteua mawaziri kutoka katikati ya wahadhiri, basi kila mmoja ni kujipendekeza tu, akidhani labda na yeye atateuliwa. Yaani nyie mcheleweshwe tu mshahara ikiwezekana mlipwe mwezi ujao, wasaliti wakubwa nyie.
Ni Kwa nini chuki hii dhidi ya watu hawa? Je, si hawa wanaotakiwa kulipwa mapema na vizuri zaidi Kwa kuwa wanajenga wataalam wa nchi hii?Msilipwe had ufike tar 50