funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,468
- 31,952
Sisi wakweli na wanazuoni wa iliyokweli huwa hatubabsishwi na matukio.
Inawezekana tuna tukio moja tu la huyu anayesemaekana ana msimamo na wasiojua wanaweza kusema eti ana msimamo kutokana na hilo tukio moja tu.
sisi wenye msimamo tunakuambia tukio hilo halitubabaishi wala kutuondoa kwenye reli ...nzuri ni nzuri na mbaya ni mbaya. .....
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!